Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Acha wafee..!!
Kwani kuna ambaye hatakufa?
Kama umechukizwa, inabidi uchukieee tena zaidi na zaidi.

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo hatujaingia na 'kiti cha enzi' kanisani?!Hahahahahah tupo utumwani ndio maana watu wanashangilia haiwezekani mwarabu achukue ardhi yetu milele halafu watu wafurahi angalia huyu mama anakwenda kuomba msamaha hapa TEC noma
Kifo sio kizuri ,ila watu tubadilike na kujitambua ,hii tabia ya watu lundikana kwenye malori ,mikokoteni , kisa ni uchama uliopitiza ,sio sawa mwishowe ni kuleta simanzi katika jamii ,familia bila sababu,Tumesikia imetokea ajali ya Hiace na kuua watu sita wanaodaiwa ni wanachama wa CCM huko Niombe.
Katika mitandao yote iliyoripoti habari hii jumbe za kebehi na kushangilia ajali hii ni nyingi. Wanaoshangilia wametoa hoja wakionyesha changamoto tulizonazo za ajira ,nishati na rushwa zimechangiwa na marehemu jambo ambalo si kweli.
Naamini hawa waliofariki siyo Sehemu ya maamuzi na ndiyo maana wamelazimika kukodi daladala iwapeleke kwenye mkutano na kuwarejesha home.
Kwa namna watu walivyocomment na wanavyoendelea kugoment inatoa picha kwamba si watu wote wanaotuzunguka ni marafiki zetu. Wapo watu wanacheka na sisi ila ni maadui zetu.
Viongozi wa kisiasa niwaombe, kama hali hii idipofanyiwa tathimini upo uwezekano mkawa na walinzi, wapishi, wahudumu na hata wenza wenu ambao ni maadui zenu. Tusipuuze hali hii nakuamini tupo salama, hapana tunachukuana kwa itikadi na sasa umaskini umewafanya watu waanze kuombeana kifo ili na wao wapate nafasi.
Tunaposherekea Mwalimu Nyerere Day tuamue sasa kurejesha HAKI NA USAWA katika Tanganyika na Zanzibar.
Wafe tu
Hili lory lingekua limebeba CHADEMA wasingesogea hata hatua moja
Imagine ww ni mfanyakazi nyumbani kwa nape utampenda kwa ujinga anaofanya. Chuki zinakuja watu wanapojua ulaji upo na watu hawapati mema acha wafe ccm wajue zama za kupendwa na kudanganya watu zimekwisha kitambo sanaTumesikia imetokea ajali ya Hiace na kuua watu sita wanaodaiwa ni wanachama wa CCM huko Niombe.
Katika mitandao yote iliyoripoti habari hii jumbe za kebehi na kushangilia ajali hii ni nyingi. Wanaoshangilia wametoa hoja wakionyesha changamoto tulizonazo za ajira ,nishati na rushwa zimechangiwa na marehemu jambo ambalo si kweli.
Naamini hawa waliofariki siyo Sehemu ya maamuzi na ndiyo maana wamelazimika kukodi daladala iwapeleke kwenye mkutano na kuwarejesha home.
Kwa namna watu walivyocomment na wanavyoendelea kugoment inatoa picha kwamba si watu wote wanaotuzunguka ni marafiki zetu. Wapo watu wanacheka na sisi ila ni maadui zetu.
Viongozi wa kisiasa niwaombe, kama hali hii idipofanyiwa tathimini upo uwezekano mkawa na walinzi, wapishi, wahudumu na hata wenza wenu ambao ni maadui zenu. Tusipuuze hali hii nakuamini tupo salama, hapana tunachukuana kwa itikadi na sasa umaskini umewafanya watu waanze kuombeana kifo ili na wao wapate nafasi.
Tunaposherekea Mwalimu Nyerere Day tuamue sasa kurejesha HAKI NA USAWA katika Tanganyika na Zanzibar.
Yule zwazwa sjui alituonaje yaani alikua anaendekeza chuki hadharaniNi vizuri kukumbushana haya muda huu msiba ukiwa umetokea, lakini ni vizuri zaidi kukumbushana kukemea viongozi wa CCM wanapotoa kauli za ubaguzi wa kisiasa kwani ndizo chanzo cha haya. Mfano, wakati jiwe anaeleza waziwazi majukwaani kuwa hawezi kupeleka huduma maeneo/majimbo yaliyochagua wapinzani, wewe mtoa mada uliwahi kukemea, au kupinga kauli hizo?
Mbona umewaacha CCM hapo!!?Hayo yanasababishwa na siasa za chuki zinazosambazwa na Slaa, mdudu, mwambulukuku, yule mental case, lussu na mbowe.
Octoba 12 nikiwa Sumbawanga maeneo ya stend ya mabasi nasubiria gari ya kwenda Mpanda nilikutana na kisanga kilichonishangaza kama Mwandishi. Siku hiyo Katibu Mkuu CCM alikuwa anahutubia Mkutano wa hadhara uwanja wa Nelson Mandela. Baada ya kuona wahudhuriaji watakuwa wachache ukafanyika mpango Vijana wa stendi wavalishwe T-Shirt za kijani. Wiokubali walipewa 5000 yao na kuahidiwa Mkutano unaanza saa 7 na kuisha SAA 10 wataendelea na shughuli zào. Kilichonishangaza ni pale waliporejea majira ya saa 10:30 jioni wenzao waliowaacha stendi wakaanza kuwazomea wakiwaita "WAUZA BANDARI". Hadi naondoka na basi la Princess J saa 11 jioni kuelekea Mpanda, hakukuwa na kijana hata mmoja aliyebaki na t-shirt ya kijani.Tumesikia imetokea ajali ya Hiace na kuua watu sita wanaodaiwa ni wanachama wa CCM huko Niombe.
Katika mitandao yote iliyoripoti habari hii jumbe za kebehi na kushangilia ajali hii ni nyingi. Wanaoshangilia wametoa hoja wakionyesha changamoto tulizonazo za ajira ,nishati na rushwa zimechangiwa na marehemu jambo ambalo si kweli.
Naamini hawa waliofariki siyo Sehemu ya maamuzi na ndiyo maana wamelazimika kukodi daladala iwapeleke kwenye mkutano na kuwarejesha home.
Kwa namna watu walivyocomment na wanavyoendelea kugoment inatoa picha kwamba si watu wote wanaotuzunguka ni marafiki zetu. Wapo watu wanacheka na sisi ila ni maadui zetu.
Viongozi wa kisiasa niwaombe, kama hali hii idipofanyiwa tathimini upo uwezekano mkawa na walinzi, wapishi, wahudumu na hata wenza wenu ambao ni maadui zenu. Tusipuuze hali hii nakuamini tupo salama, hapana tunachukuana kwa itikadi na sasa umaskini umewafanya watu waanze kuombeana kifo ili na wao wapate nafasi.
Tunaposherekea Mwalimu Nyerere Day tuamue sasa kurejesha HAKI NA USAWA katika Tanganyika na Zanzibar.
Mwana kulitafuta, wacha yawakute. MaCCM ni takataka ya kufukia yakiwa hai. CCM ni JANGA. Kataa CCM.
Mkuu kwanini unawaza kwa kujifunika blanketi kwene "medula" yako, inamaana wewe hauoni maisha magumu na ya hovyo kabisa waTz wanayoishi!Tumesikia imetokea ajali ya Hiace na kuua watu sita wanaodaiwa ni wanachama wa CCM huko Niombe.
Katika mitandao yote iliyoripoti habari hii jumbe za kebehi na kushangilia ajali hii ni nyingi. Wanaoshangilia wametoa hoja wakionyesha changamoto tulizonazo za ajira ,nishati na rushwa zimechangiwa na marehemu jambo ambalo si kweli.
Naamini hawa waliofariki siyo Sehemu ya maamuzi na ndiyo maana wamelazimika kukodi daladala iwapeleke kwenye mkutano na kuwarejesha home.
Kwa namna watu walivyocomment na wanavyoendelea kugoment inatoa picha kwamba si watu wote wanaotuzunguka ni marafiki zetu. Wapo watu wanacheka na sisi ila ni maadui zetu.
Viongozi wa kisiasa niwaombe, kama hali hii idipofanyiwa tathimini upo uwezekano mkawa na walinzi, wapishi, wahudumu na hata wenza wenu ambao ni maadui zenu. Tusipuuze hali hii nakuamini tupo salama, hapana tunachukuana kwa itikadi na sasa umaskini umewafanya watu waanze kuombeana kifo ili na wao wapate nafasi.
Tunaposherekea Mwalimu Nyerere Day tuamue sasa kurejesha HAKI NA USAWA katika Tanganyika na Zanzibar.
Msamaha alifanya kosa gani?Hahahahahah tupo utumwani ndio maana watu wanashangilia haiwezekani mwarabu achukue ardhi yetu milele halafu watu wafurahi angalia huyu mama anakwenda kuomba msamaha hapa TEC noma
Hakuna namna inabidi iwe hivyo tu.Tumesikia imetokea ajali ya Hiace na kuua watu sita wanaodaiwa ni wanachama wa CCM huko Niombe.