little master
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 1,870
- 3,589
Ni kweli kabisa usemalo je sisi katika research na development ni WA kulinganisha na hao brother? Angalia hata bajeti tu mkubwa wangu kuna vitu tutalaumu bure.Hao WAMAREKANI wanaonyesha kubeba mizigo tuu ?!
Si wana onyesha na technologies zao kwenye mambo mengine na vifaa vyao advanced. Hao wameonyesha nini zaidi ya mizigo ?
Vipi kuhusu asymmetrical warfare mkubwa wa kazi?Halafu kuna kitu kimoja hamkijui commandos au hata special forces nyingine kazi yao ni kupambana kwenye unconventional warfare
Uje pale kikosini 44KJ utukane hayo matusi yako tukusikie live bila chenga sio unatukana ukiwa huko chumbani kwako umevaa tight na kitengeHili jeshi au genge la makuli wabeba mizigo sokoni Temeke ? , nguvu nyingi akili kisoda .
Jwtz ni takataka
Jeshi limejaza wapumbavu akili ndogo ,ambao kazi yao ni kugombania malaya bar na wananchi .jeshi linaloajiri failures bila merits .
Jeshi la kipumbavu linalotumika kisiasa na maharamia ccm .
Jeshi la kishenzi lisiloenda na wakati na kuwekeza katika technology .
Jwtz ni mavi
Kwani Maonyesho yale si part ya hayo mafanikio? Acha mabezoSiku kama ya Leo isingekuwa siku ya kuonyesha maagizo ya Ukomando! Ingekuwa siku ya kuonyesha mafanikio yaliyopatikana kutokana na Muungano wetu mf.kiviwanda,kiuchumi,huduma za jamii,kiafya,nk
Muungano wetu haukupatikana kwa mtutu wa bunduki mpaka tuonyeshe harakati za kijeshi kana kwamba kuna tisho lo lote la kijeshi kutoka nje la kuvamia nchi yetu.
Hata hivyo tunawapongeza wanajeshi wetu kwa kutupa imani kuwa nchi yetu iko salama.
Kaka kwenye kuwekeza kijeshi siyo lazima kununua vifaa vya biliions of Dollar. Juzi tuu hapo rwanda kanunua drones zina tumika na lile kundi lake lipo kule Congo ,haya sisi tuna hata hizo drones, tunajua hata kuzitumia, iraq umeona zile drones walitumia kupiga Israel sisi tunayo hata 1, ile moja tuu haiuzwi dollar million 1 wala.Ni kweli kabisa usemalo je sisi katika research na development ni WA kulinganisha na hao brother? Angalia hata bajeti tu mkubwa wangu kuna vitu tutalaumu bure.
Walioipiga Israel ni Iraq sio?Kaka kwenye kuwekeza kijeshi siyo lazima kununua vifaa vya biliions of Dollar. Juzi tuu hapo rwanda kanunua drones zina tumika na lile kundi lake lipo kule Congo ,haya sisi tuna hata hizo drones, tunajua hata kuzitumia, iraq umeona zile drones walitumia kupiga Israel sisi tunayo hata 1, ile moja tuu haiuzwi dollar million 1 wala.
Wewe ni fala tu kama mafala wengine. Mazingira ya kwetu na huko ukusemako wala hata hayafanani. Lakini jua kuwa maonesho kama hayo si uhalisia wakati mwingine ni mbinu za kimedani.Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na maarifa zaidi.
Wenzenu huko duniani wanatengeneza supersonic missiles. Silently triggered guns, invisible drones, camouflaged warships, n.k. Ninyi mnahangaika kubeba mizigo??
View attachment 2974562
Asymmetrical warfare tunasema ni kumkabili adui yako kwa every possible means ukitumia resources zako ambazo hazifanani na za adui yako ambae amekuzidi kwamba yeye ana nguvu kubwa pengine kivifaa na kitekinolojia mfano gaidi linavizia military installations za USA na kuzilipuaVipi kuhusu asymmetrical warfare mkubwa wa kazi?
HahahahahaaIran anaishambilia Israel umbali wa zaidi ya kilomita 2,300 bila kutuma mwanajeshi. Israel inaishambulia Iran ama Syria bila kutuma mwanajeshi.
Sidhani kama wanajeshi wao wanabeba kilo 100 za mizingo mgongoni.
Nimebahatika kutoangalis hayo maudhi mwaka huu!Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na maarifa zaidi.
Wenzenu huko duniani wanatengeneza supersonic missiles. Silently triggered guns, invisible drones, camouflaged warships, n.k. Ninyi mnahangaika kubeba mizigo??
View attachment 2974562
Hizo ni commands tu lakini modern military or modern warfare yote imehamia kwenye teknolojia. Ile gorilla warfare ya man to man imepungua kwa zaidi ya 90%.Sio kila sehemu utatumia Ndege!
Ndio maana kuna kamandi tofauti, anga majini nchi kavu nk
Kila Kamandi zina majukumu yake na zana zake za kimapigano
Kuna cargo hapa stendi mpya wanabeba mpaka kilo 200 ambayo ni three times ya makomando wetuBinafsi huwa sielewi hii sinema ya kubega mizigo mizito ina maana gani.
Kwamba huyo jamaa akiwa anaenda front line kuokoa au kuteka anaondoka kambini, nyumbani akiwa hivyo au ni kututisha raia huku mtaani?.
Na akianza kuchezea kichapo vumbi linatimka hadi mpigaji na mpigwaji hawaonekaniKama umewahi kusoma yale magazeti ya SANI kuna dingi anaitwa Baba ubaya alikuwa akiingia kwenye varangati anabeba zana zaidi ya 100 lakini anachezea kichapo...
Si sehemu pia ya SF?Asymmetrical warfare tunasema ni kumkabili adui yako kwa every possible means ukitumia resources zako ambazo hazifanani na za adui yako ambae amekuzidi kwamba yeye ana nguvu kubwa pengine kivifaa na kitekinolojia mfano gaidi linavizia military installations za USA na kuzilipua
Hivi kumbe huu utoto bado unaendelea?Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na maarifa zaidi.
Wenzenu huko duniani wanatengeneza supersonic missiles. Silently triggered guns, invisible drones, camouflaged warships, n.k. Ninyi mnahangaika kubeba mizigo??
View attachment 2974562