Nimechukizwa sana kuona Majeshi yetu yanaonesha umahiri wao kwa kubeba kilo 70 za mizigo

Nimechukizwa sana kuona Majeshi yetu yanaonesha umahiri wao kwa kubeba kilo 70 za mizigo

Hao WAMAREKANI wanaonyesha kubeba mizigo tuu ?!
Si wana onyesha na technologies zao kwenye mambo mengine na vifaa vyao advanced. Hao wameonyesha nini zaidi ya mizigo ?
Ni kweli kabisa usemalo je sisi katika research na development ni WA kulinganisha na hao brother? Angalia hata bajeti tu mkubwa wangu kuna vitu tutalaumu bure.
 
Hili jeshi au genge la makuli wabeba mizigo sokoni Temeke ? , nguvu nyingi akili kisoda .
Jwtz ni takataka
Jeshi limejaza wapumbavu akili ndogo ,ambao kazi yao ni kugombania malaya bar na wananchi .jeshi linaloajiri failures bila merits .
Jeshi la kipumbavu linalotumika kisiasa na maharamia ccm .
Jeshi la kishenzi lisiloenda na wakati na kuwekeza katika technology .
Jwtz ni mavi
Uje pale kikosini 44KJ utukane hayo matusi yako tukusikie live bila chenga sio unatukana ukiwa huko chumbani kwako umevaa tight na kitenge
 
Siku kama ya Leo isingekuwa siku ya kuonyesha maagizo ya Ukomando! Ingekuwa siku ya kuonyesha mafanikio yaliyopatikana kutokana na Muungano wetu mf.kiviwanda,kiuchumi,huduma za jamii,kiafya,nk
Muungano wetu haukupatikana kwa mtutu wa bunduki mpaka tuonyeshe harakati za kijeshi kana kwamba kuna tisho lo lote la kijeshi kutoka nje la kuvamia nchi yetu.
Hata hivyo tunawapongeza wanajeshi wetu kwa kutupa imani kuwa nchi yetu iko salama.
Kwani Maonyesho yale si part ya hayo mafanikio? Acha mabezo
 
Ni kweli kabisa usemalo je sisi katika research na development ni WA kulinganisha na hao brother? Angalia hata bajeti tu mkubwa wangu kuna vitu tutalaumu bure.
Kaka kwenye kuwekeza kijeshi siyo lazima kununua vifaa vya biliions of Dollar. Juzi tuu hapo rwanda kanunua drones zina tumika na lile kundi lake lipo kule Congo ,haya sisi tuna hata hizo drones, tunajua hata kuzitumia, iraq umeona zile drones walitumia kupiga Israel sisi tunayo hata 1, ile moja tuu haiuzwi dollar million 1 wala.
 
Walioipiga Israel ni Iraq sio?
 
Mpaka Akil iwakae sawa.. mwakani wabebe kg 133😂😂

wakija sanuka maumivu makal ya mgongo na misulii
.
KICHWA KISICHO NA AKILIIII______, Mzigo kwa shingo
,
 
Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na maarifa zaidi.

Wenzenu huko duniani wanatengeneza supersonic missiles. Silently triggered guns, invisible drones, camouflaged warships, n.k. Ninyi mnahangaika kubeba mizigo??

View attachment 2974562
Wewe ni fala tu kama mafala wengine. Mazingira ya kwetu na huko ukusemako wala hata hayafanani. Lakini jua kuwa maonesho kama hayo si uhalisia wakati mwingine ni mbinu za kimedani.
 
Vipi kuhusu asymmetrical warfare mkubwa wa kazi?
Asymmetrical warfare tunasema ni kumkabili adui yako kwa every possible means ukitumia resources zako ambazo hazifanani na za adui yako ambae amekuzidi kwamba yeye ana nguvu kubwa pengine kivifaa na kitekinolojia mfano gaidi linavizia military installations za USA na kuzilipua
 
Iran anaishambilia Israel umbali wa zaidi ya kilomita 2,300 bila kutuma mwanajeshi. Israel inaishambulia Iran ama Syria bila kutuma mwanajeshi.

Sidhani kama wanajeshi wao wanabeba kilo 100 za mizingo mgongoni.
Hahahahahaa
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Mongoni mwa marafiki wanafiki pia wapo, huwezi kuonesha uwezo wako wote wa kujilinda jadharani, Ile ni show ya kufurahisha Wananchi tu. Mwenye kutaka show kamili acheze na mpaka wetu.
 
Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na maarifa zaidi.

Wenzenu huko duniani wanatengeneza supersonic missiles. Silently triggered guns, invisible drones, camouflaged warships, n.k. Ninyi mnahangaika kubeba mizigo??

View attachment 2974562
Nimebahatika kutoangalis hayo maudhi mwaka huu!
 
Sio kila sehemu utatumia Ndege!

Ndio maana kuna kamandi tofauti, anga majini nchi kavu nk

Kila Kamandi zina majukumu yake na zana zake za kimapigano
Hizo ni commands tu lakini modern military or modern warfare yote imehamia kwenye teknolojia. Ile gorilla warfare ya man to man imepungua kwa zaidi ya 90%.

Kwa teknolojia ya sasa ya infrared camera, night vision goggles, drones mounted with high precision camera, motion sensor or detection camera, smart bullets(bullets that can change direction to hit a moving target with precision guilded gun) nk huhitaji komandoo wa kubeba mizigo kilo 100 mgongoni, kwanza huo mzigo utanfanya iwe ngumu kujificha na iwe rahisi yeye kua detected na kupigwa chuma mapema sana.

Halafu huo mzigo wa kilo 100 mgongoni utaubeba umbali wa kilomita ngapi? Na hizo kilo 100 ni za nini, magazini za risasi ama ni nini? Unabeba kilo 100 hata nyuma huoni ama inakua ngumu kugeuka kwa haraka si ni rahisi tu kua ambushed na ukapotezwa?

Jeshi letu watuonyeshe vitu vya kisasa.
 
Binafsi huwa sielewi hii sinema ya kubega mizigo mizito ina maana gani.

Kwamba huyo jamaa akiwa anaenda front line kuokoa au kuteka anaondoka kambini, nyumbani akiwa hivyo au ni kututisha raia huku mtaani?.
Kuna cargo hapa stendi mpya wanabeba mpaka kilo 200 ambayo ni three times ya makomando wetu
 
Kama umewahi kusoma yale magazeti ya SANI kuna dingi anaitwa Baba ubaya alikuwa akiingia kwenye varangati anabeba zana zaidi ya 100 lakini anachezea kichapo...
Na akianza kuchezea kichapo vumbi linatimka hadi mpigaji na mpigwaji hawaonekani
 
Angalau kikundi cha Brass band kinajitahidi kilikua kinapiga ngoma kisasa kabisa kwa africa tuna brass band nzuri.
Jeshi limewekeza kwenye kupiga ngoma
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Asymmetrical warfare tunasema ni kumkabili adui yako kwa every possible means ukitumia resources zako ambazo hazifanani na za adui yako ambae amekuzidi kwamba yeye ana nguvu kubwa pengine kivifaa na kitekinolojia mfano gaidi linavizia military installations za USA na kuzilipua
Si sehemu pia ya SF?
 
Ni aibu tume invest sana kwenye siasa huenda mpaka kwenye military institutes Kuna machawa wa kisiasa.
According to globalwarfare.com Tanzania tupo nafasi ya 103/145 in terms of military strengths. Tumezidiwa mpaka na majirani waje ya wao ni 89/145. Uganda nao watuzidi kwenye key attributes mpaka kwenye military budgets ni aibu kubwa.
 
Attachments

  • Screenshot_20240427-100736_1.jpg
    Screenshot_20240427-100736_1.jpg
    196.9 KB · Views: 4
  • Screenshot_20240427-101911_1.jpg
    Screenshot_20240427-101911_1.jpg
    312.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240427-100841_1.jpg
    Screenshot_20240427-100841_1.jpg
    171.5 KB · Views: 3
Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na maarifa zaidi.

Wenzenu huko duniani wanatengeneza supersonic missiles. Silently triggered guns, invisible drones, camouflaged warships, n.k. Ninyi mnahangaika kubeba mizigo??

View attachment 2974562
Hivi kumbe huu utoto bado unaendelea?
 
  • Kicheko
Reactions: G4N
Kwenye migodi ya wachimbaji wadogo kuna raia wanabeba yale magunia ya mawe ya madini unakuta lina kilo hadi 80 na wanajaza FAW ya tani 25 wakiwa watano tu huku ma legend wanaishi kwa mo energy na maboflo ya azam leo makomandoo wetu wanajisifu kubeba mizigo kama hiyo kila sikukuu ya kitaifa! Haya mambo nadhani yamepitwa na wakati.
 
Back
Top Bottom