little master
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 1,870
- 3,589
Ni kweli kabisa usemalo je sisi katika research na development ni WA kulinganisha na hao brother? Angalia hata bajeti tu mkubwa wangu kuna vitu tutalaumu bure.Hao WAMAREKANI wanaonyesha kubeba mizigo tuu ?!
Si wana onyesha na technologies zao kwenye mambo mengine na vifaa vyao advanced. Hao wameonyesha nini zaidi ya mizigo ?