Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kwahiyo huko mgambo ndiyo mlifundishwa kwamba umahiri wa mwanajeshi ni kubeba mizigo? Wanajeshi wanatofautiana vipi na makuli sasa?Mtu ambaye hajapitia ingalau hata mgambo utamjua tu.
kama hakuna unachojua kuhusu jeshi ni busara kukaa kimyaNajua bhana, si ndiyo jeshi hili hili lilikiwa linagombania mavazi na raia? Eti raia akivaa mavazi yanayofanana na jeshi litashindwa kufanya kazi. Pathetic and absurd!
Wanajeshi ndiyo hawa kazi kupigana na raia kwenye mabaa wakigombea malaya. Na ndiyo maana hata maonesho yao yamejikita kwenye kuonesha maguvu kwa kubeba kilo 70, lkn akili na weledi ni mdogo kama uduvi.
Wewe unayejua tuambie, kwann mnatuonesha kubeba mizigo kama makuli?kama hakuna unachojua kuhusu jeshi ni busara kukaa kimya
Nimejikuta nachekaBinafsi huwa sielewi hii sinema ya kubega mizigo mizito ina maana gani.
Kwamba huyo jamaa akiwa anaenda front line kuokoa au kuteka anaondoka kambini, nyumbani akiwa hivyo au ni kututisha raia huku mtaani?.
Tafadhali jamaa tupe heshima yetuJW atoe wapi hizo akili?
Umemjibu vema Hata Askari wa Motorised infantry nao saa nyingine inawabidi kuwa on footSio kila sehemu utatumia Ndege!
Ndio maana kuna kamandi tofauti, anga majini nchi kavu nk
Kila Kamandi zina majukumu yake na zana zake za kimapigano
Ungekuwa unajua mambo yanayoendelea ungeshukuru kwa kuwa na jeshi imara kama letu.Medani za kubeba gunia sio?
Ndo ubebe mamizigo mgongoni kiasi hicho?Sio kila sehemu utatumia Ndege!
Ndio maana kuna kamandi tofauti, anga majini nchi kavu nk
Kila Kamandi zina majukumu yake na zana zake za kimapigano
Duuuh hii ni hatari mkuu..Sisi bado sana..
Wanajesh wanaingia kambini na smartphone za kampuni tofauti...
Kuna siku nilkuwa naset 'radiocall' kuweka channel moja hiv..nikakamata mawasiliano ya maafande...duh