Nimechukizwa sana kuona Majeshi yetu yanaonesha umahiri wao kwa kubeba kilo 70 za mizigo

Alafu waandishi wa habari walivyo kuwa wanafiki wana andika kabisa eti BALAA LA MAKOMANDO WA JWTZ.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sasa hapo kuna balaa gani, au kubeba mizigo ya kilo 70 ndiyo balaa lenyewe.

Badala ya kuonyesha vifaa vya kisasa wao wana beba mamizogo ya kuvunja migongo.
 
Reactions: G4N
Kaka, majeshi yote hufanya uwekezaji kulingana na hali ya maendeleo ktk sekta ya ulinzi. Aidha, nguvu ya kijeshi kwa nchi za kawaida huwa ni siri. Mataifa yaliyoendelea na baadhi ya mataifa ya Afrika ndio huweka wazi taarifa za maendeleo ya kijeshi. Nakumbuka kuna sherehe za maadhimisho ambapo tulionesha uwezo wetu wa kimapigano! Vifaa na dhana kadhaa za kijeshi vilionyeshwa! Kila jambo hufanyika kwa kusudi maalum
 
Ujinga ni kuamini na kujua kuwa kinachofanywa ktk hayo maonyesho ndio ulinzi...
Hamna kitu walevi tu ninyi. Ndiyo maana mnapambana kujitofautisha na raia kwa mavazi badala ya mbinu za kivita. Hopeless!

Sasa kama siyo ya ulinzi mnaonesha ya nn? Mbona unapingana na wasemaji (m.c) wa majeshi wakati wa maonesho??
 
🀣🀣🀣🀣Miaka yote ni marobota ya kilo 70
 
Reactions: G4N
Ni Bora tungeonyesha how tume be advanced kwenye technology

Nakumbuka:

UJITUKABEJA 😊
 
Reactions: G4N
Siyo Jeshi tu hata sekta zingine zinapaswa kuonyesha umahiri wa technolijia. Sasa jiulize wewe kwenye sekta yako kuna kipi kipya kinachoendana na wakati au ndiyo ile kutoa kibanzi kwenye jicho la mwingine ilhali nawewe una boriti jichoni?
Benki na TRA kuna mabadiliko mengi sana. Miaka ya nyuma matumizi ya teknolojia ktk malipo ya Kodi TRA, ama kufanya miamala benki ilikuwa lazima ifanywe ofisini.
 
Halafu kwenye maadhimisho kama haya tuje tuwaoneshe hadharani namna tulivyoendelea kijeshi?
Kwahiyo mmeamua kuonesha jinsilivyo nyuma kivita?? M23 (wahuni wa msituni tu) wanatumia mapanga halafu wanawaueni?? Inashangaza sana
 
Yale makomando wa jwtz yanauwezo wa kudaka mdomoni hizo drone na kuzitema kuzipelekea zilikotoka
 
Reactions: G4N
Hapo nimeoa ni makomando, hebu jaribu kucheki na makomando wa wenzetu, nadhani nao watakuwa hivyo hivyo.

Kuhusu suala la silaha bora, shidani serikali yetu, elimu duni, pesa wananunulia mavieite.
Wanataka wanajeshi wakate mishahara yao wakanunue Missiles? If the policy aren't tight, How can JWTZ be good.
 
Reactions: G4N
Sisi bado sana..
Wanajesh wanaingia kambini na smartphone za kampuni tofauti...
Kuna siku nilkuwa naset 'radiocall' kuweka channel moja hiv..nikakamata mawasiliano ya maafande...duh
[emoji16][emoji16] Watasema ni ume wa hack kumbe ni open channel
 
Reactions: G4N
Majeshi yetu yapo relevant na mazingira yetu
Gorilla wars ndo kitu tunapambanaga nayo OP zote
And we are damn good no doubt
 
Geographia ya iran na tz ni tofauti, na maadui ni tofauti sie majeshi yetu anapambana na waasi wa m23 janjaweed na wapuuzi akina mbowe, hawa wakwetu ni wakupiga makofi tu sio wakushambuwa kwa drones
[emoji16][emoji16]

I guess u are not serious mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…