Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni ujuaji wa kishamba na nyie.Kwani si tulishakubaliana kuwa Tanzania ni channel ya vichekesho..??!!!
Acha malalamiko endelea kufurahia vichekesho hivyo mkuu 🤒😎
Na akipigwa anaenda kuwachukua wenzake wanapiga mtaa mzima mpaka mama ntilie wasio husika.Komando anapiga raia asiye na mafunzo yoyote ya kijeshi kugombea malaya bar.
Kusikiliza kichekesho kama hiki nitune ngapi nukta ngapi??? 🤒Acheni ujuaji wa kishamba na nyie.
Kwa hiyo kwa sababu kuna teknolojia ndio mnataka makomando wasiwe na nguvu wawe legelege tu kama wazembe flani?
Kazi ya komando mara nyingi ni manual ndiyo maana anatakiwa kujifunza martial arts, unaweza kuokoa mateka kwa kutumia teknolojia na missiles?
Acheni ujuaji wa kiduanzi.
Wale wapo kazini na tunawafaham, hapa sokoni Mwanjerwa yupo jamaa yangu anaitwa Mwambene, huyu anabeba hadi 1ton kwa siku.Kuna cargo hapa stendi mpya wanabeba mpaka kilo 200 ambayo ni three times ya makomando wetu
Iran mzeeWalioipiga Israel ni Iraq sio?
OK ukisema IranIran mzee
Kumbe ni hasira za kukosa kazi 🤣🤣Pole kwa kukosa kazi jeshini, kurutu.
Afisa mteule usitoe siri afande!Tafadhali jamaa tupe heshima yetu
Sio mbaya mungu akijaalia pengine ninaweza kuwa considered na wakuu wangu nikawa afisa mteule nikafika huko bado nina kiaka kadhaa mbele kwenye serviceAfisa mteule usitoe siri afande!
Jitahidi uende tma
Ushamba na Ulimbukeni vinawasumbua sana.Na akipigwa anaenda kuwachukua wenzake wanapiga mtaa mzima mpaka mama ntilie wasio husika.
Acha uwongo mbinu za kimedani ndiyo kubeba mizigo kama makuli? Halafu hizi mbinu za kimedani hazibadiliki tangu tupate uhuru?Lakini jua kuwa maonesho kama hayo si uhalisia wakati mwingine ni mbinu za kimedani.
Vita vya hivi Sasa siyo kati ya nchi jirani, inaweza kuwa hata kutoka mabara tofauti. Mfano vita ya Marekani na Iraq
Ukisoma maandishi yake utagundua hilo. 😁😁Kumbe ni hasira za kukosa kazi 🤣🤣
Tolea mfano nchi za Afrika Mashariki.Vita vya hivi Sasa siyo kati ya nchi jirani, inaweza kuwa hata kutoka mabara tofauti. Mfano vita ya Marekani na Iraq
Hiiii eeeeeeh!Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na maarifa zaidi.
Wenzenu huko duniani wanatengeneza supersonic missiles. Silently triggered guns, invisible drones, camouflaged warships, n.k. Ninyi mnahangaika kubeba mizigo??
View attachment 2974562