Nimechukizwa sana kuona Majeshi yetu yanaonesha umahiri wao kwa kubeba kilo 70 za mizigo

Nimechukizwa sana kuona Majeshi yetu yanaonesha umahiri wao kwa kubeba kilo 70 za mizigo

Kwani si tulishakubaliana kuwa Tanzania ni channel ya vichekesho..??!!!

Acha malalamiko endelea kufurahia vichekesho hivyo mkuu 🤒😎
Acheni ujuaji wa kishamba na nyie.

Kwa hiyo kwa sababu kuna teknolojia ndio mnataka makomando wasiwe na nguvu wawe legelege tu kama wazembe flani?

Kazi ya komando mara nyingi ni manual ndiyo maana anatakiwa kujifunza martial arts, unaweza kuokoa mateka kwa kutumia teknolojia na missiles?

Acheni ujuaji wa kiduanzi.
 
Mi nilipoona tu wameanza hizo mishe za kitoto na kipuuzi nikaona isiwe tabu, TV ikazimwa chap.
 
  • Kicheko
Reactions: G4N
Acheni ujuaji wa kishamba na nyie.

Kwa hiyo kwa sababu kuna teknolojia ndio mnataka makomando wasiwe na nguvu wawe legelege tu kama wazembe flani?

Kazi ya komando mara nyingi ni manual ndiyo maana anatakiwa kujifunza martial arts, unaweza kuokoa mateka kwa kutumia teknolojia na missiles?

Acheni ujuaji wa kiduanzi.
Kusikiliza kichekesho kama hiki nitune ngapi nukta ngapi??? 🤒
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Kuna cargo hapa stendi mpya wanabeba mpaka kilo 200 ambayo ni three times ya makomando wetu
Wale wapo kazini na tunawafaham, hapa sokoni Mwanjerwa yupo jamaa yangu anaitwa Mwambene, huyu anabeba hadi 1ton kwa siku.
 
Tushukuru Kwa tulichonacho hata sasa..Kulinda nchi na mipaka ni zaidi ya Silaha pia mbinu Za Kibona Damu..Uzalendo unaoonyeshwa na majeshi yetu ktk level mbalimbali si jambo la kubezwa Bali kutukuzwa..

Tunahitaji uwekezaji mkubwa ktk teknolojia na kuongezwa upya Kwa vitengo vya kimkakati Kwa kuzingatia matakwa ya dunia ya leo..

Mathalani jeshi letu lapaswa kuwa na vitengo vya Information Support Force, the Aerospace Force and the Cyberspace Force.Vitengo hivi vihusishe uwekezaji wa kiteknolojia Za Kisasa yanayohusisha AI,Robotics instruments and cybersecurity systems.

Ni wakati sasa baadhi ya nafasi Za uongozi ikiwamo Uwaziri,Unaibu Waziri na Ukatibu mkuu ktk Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa,Mambo ya ndani wapewe wanajeshi wastaafu Kwa ngazi ya Ujenerali (Generals)..Hili litaimarisha sana weredi na ustawi wa usimamiaji uzalendo Kwa maslahi ya taifa letu.
 
Lakini jua kuwa maonesho kama hayo si uhalisia wakati mwingine ni mbinu za kimedani.
Acha uwongo mbinu za kimedani ndiyo kubeba mizigo kama makuli? Halafu hizi mbinu za kimedani hazibadiliki tangu tupate uhuru?
 
Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na maarifa zaidi.

Wenzenu huko duniani wanatengeneza supersonic missiles. Silently triggered guns, invisible drones, camouflaged warships, n.k. Ninyi mnahangaika kubeba mizigo??

View attachment 2974562
Hiiii eeeeeeh!

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom