De Rama Msirikale
Member
- Nov 30, 2020
- 31
- 15
HahahaKwa akili hizi Hukustahili kudahiliwa chuo kikuu
Sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimeamua kuhairisha kuripoti chuo hicho.
Sisi wazamani tuna ahirisha, sasa vijana wetu wao wana hairisha, wasiwasi wangu wajukuu zetu huenda wakaharisha (LoL).Njia uliyoitumia kusajiri tumia hiyo hiyo kuahirisha.
Sawa asante kwa wako ushauri,japo sijaelewa vyemaNjia uliyoitumia kusajiri tumia hiyo hiyo kuahirisha.
Kwanini kiswahili kigumu kiongoziSisi wazamani tuna ahirisha, sasa vijana wetu wao wana hairisha, wasiwasi wangu wajukuu zetu huenda wakaharisha (LoL).
Naona kiswahili kinazidi kuwa changamoto, hapa nyumbani kwangu hilo ni tatizo kubwa lakini hata JF kwa ujumla kiswahili kinakwenda mrama. Walimu, wazazi na jamii tunawajibu........ hapa.
Hahaha kwaniniHahaha
Saws Mr.genius hii ndio sababu ya kuhairisha pia,ila wasiwasi Wangu niendapo nitapata udahili tena mwakaniSwali fikirishi: kwa nini unataka kwenda chuo? Ukafanye nini? Ili iweje? (usiniambie unataka kwenda kusoma)
Ukinijibu haya sasa twaweza kushauriana!.
KwaniniKwa akili hizi Hukustahili kudahiliwa chuo kikuu