Nimedhurumiwa Tsh. Milioni 2.4 na Mtu niliyekuwa nafanyanae biashara

NIMEACHA KUSOMA BAADA YA KUONA HII
mzigo nikaufikisha pale muda ule nafika gari nayo inataka kuondoka so mzigo mojakwamoja ukatiwa kwenye buti gari ikaondoka
 
NIMEACHA KUSOMA BAADA YA KUONA HII
mzigo nikaufikisha pale muda ule nafika gari nayo inataka kuondoka so mzigo mojakwamoja ukatiwa kwenye buti gari ikaondoka
kwanini umeacha kusoma
 
Yaani mtu yuko Geita huko, anakuambia hela yako iko kwa mtu wa Kariakoo, kisha wewe unapakia mzigo kwenye gari la Shekilango bila kushika cash mkononi?

Honestly, you played yourself.
 
Yaani mtu yuko Geita huko, anakuambia hela yako iko kwa mtu wa Kariakoo, kisha wewe unapakia mzigo kwenye gari la Shekilango bila kushika cash mkononi?

Honestly, you played yourself.
nikweli nimefanya makosa- ila kabla yahapo ilikua tayari tushafanya biashara. alituma pesa nyingi ili nimuuzie mzigo so ilikua rahisi kumuamini
 
nikweli nimefanya makosa- ila kabla yahapo ilikua tayari tushafanya biashara. alituma pesa nyingi ili nimuuzie mzigo so ilikua rahisi kumuamini
Hiyo pesa nyingi ilikuwa chambo tu mkuu, na wewe ukameza hadi ndoano! Dah pole sana.
 
Nguvu atakayotumia kujaribu kurejesha hela itagharimu vingi kuliko hela aliyopoteza.

Mwezi uliopita mimi nimetapeliwa na rafki yangu niliemfahamu tangu 2008. Na nimefanya nae biashara miaka 3 mfululizo. Juzi hapa kanilamba mil 10 ++, akanitumia 1.5 tuuu, na bahati mbaya niliitegemea saana hiyo hela. Na ni mwaka huu ndo nilitumbukiza hela nyingi kwenye hiyo shared business.

Nilitamani nikamtie kilema cha maisha(hili naliweza vizuri kabisa) abaki kunikumbuka daima kila anapoteseka na ulemavu.

Baadae nilikubali moyoni kua nimetapeliwa na hakuna ninaloweza kufanya kurudisha hela, zaidi nitajitengenezea hatia moyoni, asikudanganye mtu, kama dhamiri yako ipo hai, ukibeba hatia moyoni hautanyanyua mguu kusonga popote.
Basi nikaachilia.
 
Uyo jamaa itakua yeye katapeliwa alafu akaamua kuingia mitini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…