Nimedhurumiwa Tsh. Milioni 2.4 na Mtu niliyekuwa nafanyanae biashara

Ajali kazini, chukulia pesa ulioipoteza kama ada ya kuhitimu somo la kutokumuamini mtu.​
 
Mroge!
 
Majina yake ya kweli unamjua????? nenda kamroge
Huwezi kumroga mtu usiyemfahamu kwa sura..majina yanafanana..let Say John Joseph ndo jina la huyo tapeli,but John Joseph wako wengi dunia hii.
 
Kama na wewe hujawahi tapeli mtu unarusiwa kudeal naye ila kama na wewe ulishatapeli jua ndo malipo yake
 
Wewe ni mpumbavu.
 
Mkuu umekosea sana kumuamini, yote kwa yote pambania haki yako kama watangulizi walivyo kushauri, kupitia huu uzi wako na sisi kuna kitu tumejifunza.
 
Hapana ondoa dhana hiyo
Kaka mimi mdogo wangu walimtapeli 20.45m aliagiza mavitu za harware dsm alipo nielezea kwakuwa alikuwa janja nikaenda mwenyewe kufungua kesi polisi

Ninachokumbuka yule mpelelezi wangu aliniambia jamaa anapatikana nik0mwambia yeah pia ana grup la biashara yake anapost bidhaa daily kwaiyo akawa ananiambia mara niende siku flan na kwli ikifika iyo siku namsumbua adi tuonane

Mwishoni kabisa akaniambia nimtafute mwenyewe uyo jamaa alietutapeli then nikijua alipo nimwambie, nikawaza sana maneno yayule brother nikaachana na kesi manake nimeona amna msaada ninaopewa zaidi yakupotezewa muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…