Nimedondokea kwa kaka niliekutana nae facebook


sounds like scam for me.. kuwa muangalifu matapeleki wengi sana on-line sikuhizi , bahati mbaya wanatokea africa magharibi wengi wao ! kwa hiyo dadayangu .. haste haste ....! usije ukalia
 
Thanks The boss but hata angesema anataka kushare bado nicngeweza kuwa two in one....Kinachoniumiza ni jinsi gani ntaachana na huyu mtz


OK noww nimekupata bibie...KUMBE SHIDA NI JINS GAN UTAMWACHA BFREND WAKO?

ok ..ungeisimamisha ivo hoja bas watu wangekupata fasta..ungesema JAMAN NAOMBENI USHAURI JINSI YA KUMWACHA BFREND WANGU....


dahhh lakin sababu sasa....eti umempata njemba in face bookkk...so mercy..pole lakin ....dahh do u thk?even a lil....?
 
Acha mawazo ya kimalaya malaya wewe binti.......
fikiria mustakabali wa maisha yako kwanza ebo...................................

hah haaaaa naona umeamua KUMPA MAKAVU..ahh haha haha i like t....

labda mumuulize ana umri gan?


dah bt she seems 2b veryyyyyyyyyyyyyyyyy s......t...............d
 


Thanks Russian
amekwisha niambia kampuni anoyofanya kazi na nimetafuta web yake kweli iko na yeye ndo president.....ni yeye ndo anataka kuja kunipa hi c mimi naenda....
 
Waghana ni vijana wazuri niliowahi kukutana nao ni wataratibu sana labda zaidi yetu wabongo. Tatizo ni kama alivyosema mchangiaji mmoja hapa; mambo ya internet utajuaje kuwa ni mghana kweli??? Unajua wanaigeria wameshajua kila mtu anawaogopa kwa hiyo hukawii kuwa una date na mnaigeria na nia yake ni kukuliza. Nilisoma kisa kimoja cha mdada alikuwa anaishi nje ya nchi akaingizwa mkenge na mnaigeria online in the name of love.

Kingine wajameni hivi nyie hizi face book mnazitumiaje vijana???? How can you add a stranger katika friends list. Inaelekea kuna watu wanatumia face book kibiashara zaidi; ndio wale unakuta amejaza mipicha kibao tena ya hajabu hajabu na account yake iko accessible na whoever will google online. Yani unaingia kwenye face book account ya mtu na unakuwa na uwezo wa kuview na kudownload picha zote nyingine hata za nusu utupu. Kama wewe ni celebrity ok, lakini kama ni mtu wa kawaida nitakuwa nimekosea nikisema unatumia face book kujiuza???
 
Thanks Russian
amekwisha niambia kampuni anoyofanya kazi na nimetafuta web yake kweli iko na yeye ndo president.....ni yeye ndo anataka kuja kunipa hi c mimi naenda....
LMAO.....Ain't over till it's over, wewe banaa unachekesha sana anyways it's upon you
 
Nipe sababu moja ya kumuacha huyu uliyenaye sasa hivi.


Yaonekana hayuko sirias na uhusiano wentu coz ugomvi kidogo tu ......hukimbilia kuuliza kama tunaachana au laaaa...nami ntajibu nini badala ya kusema hapana
 
dada pole sana sikushauri uachane na boy friend wako hebu kwanza jiulize boy friend wako amekukosea nini mpaka utake umwache coz ya huyo jamaa?pili anaongea kwa upole unauhakika tabia zake ndio hizo za upole?, matapeli wa mapenzi wapo wengi sana,chonde chonde sana

kumbuka "goes around comes around" usimwache boy wako
 
Duh, kama mwepesi hivyo kukubali unatisha angalia usije ukawa umetongozwa na jini hahahaha!!
 



Rose never judge a book by the cove/usianze kujaji kitabu kabla hujakifungua........Hata ningeweka avata nimevaa mabaibui hawezionyesha kuwa niko disent sana....
 
Unasema boyfriend wako mnakwaruzana ndio maana unaona um replace na Mghana? Unajua kwa nini mnakwaruzana? Ni kwa sababu tayari moyo wako umeshampa mghana. Ni kawaida mapenzi hayawezi kuwa kama zamani pale mmoja wa wenza anapokuwa cheater. Wewe utakuwa una compare kila anachokufanyia boyfriend wako na mghana. Poor boy!
 

nyumba kubwa, vipi kama hiyo mikwaruzano ndo ilopelekea yeye kujitafutia 'kitulizo' kingine?

ila vyovyote vile naona binti anajiweka kwenye hatari ya kukanyaga moto baada ya kuruka majivu...kwana huwa naona ni risk sana kutoka tu kwenye uhusiano na kurukia mwingine, hujajipa hata muda wa kufikiri.9achilia mbali huyu ambaye bado yumo mguu ndani mguu nje)

when it comes to matters of the heart....naogopa kucheza ana ana ana doo!
 
Dah! kweli Dunia hadaa ulimwengu shujaa. My dear usihadaike, FB imejaa matapeli, mie nliwahi kuchati na mnigeria mmoja, luckily nlimdanganya naishi mwanza na yeye akanambia yuko Dar na ansoma Muhimbili, akademand kuja kunitembelea MZA nikamwambia kuwa muda mwingi huwa sipo coz nafanya kazi za kuzunguka. akanambia yeye anapenda akimaliza shule kama atapata mtu ataoa mtz, bahati nzuri mie sikuwa "into him" so nkampiga chenga mno. Juzi nkaangalia profile yake baada ya kutokumsoma muda mrefu, nkagundua kuwa ni footballer wala hana cha kusoma wala nn. Nilipomuuliza akanambia "Please Let me explain".

Lesson be careful with the strangers, usije ukafanywa mbuzi wa PASAKA
 
mdogo wangu umeongea mpaka nimekuonea huruma...

nikuulize....umejuaje huyu ndo umepangiwa na si yule mtz?


Mpenzi wangu niliie nae cdhani kama ananipenda kweli......ugovi kidogo tu hukimbilia kuuliza kama uhusiano unaendele!labda yuko namimi kwasababu namsaidia....nijua ndo yeye lakini vitendo vyake vinanitia masha...
 


Nyumba kubwa Thanks
But haya yameanza hata kabla cjamfahamu Mghana
 
 

Ni lini dada zetu wa Kibongo mtaacha yatuatayo?;
1. Kushobokea watu wa nje ya nchi. Yaani wadada wa Kibongo akishasikia mwanaume ana utaifa wa nchi nyingine hata iwe Zimababwe kwenye njaa, au Southern Sudan walikopata uhuru juzi, basi anachanganyikiwa kabisa.
2. Kuchukulia hisia za wapenzi wenu ''for granted''!. Yaani haingii akilini unakutana na mtu kwenye facebook anakuambia achana na mpenzi wako na wewe unakubali. Hizo ni akili au matope?

Get a life and go back to your senses.
 
Mama achana na Mghana zaidi endelea kuboresha penzi kati yako na B/F wako ulienae ...yupo rafiki yangu yeye haya haya ya FB wakapendana na Mnigeria wakati huo yeye ana Mtanzania kilichoendelea ilibidi aende kupata anointed water kwa TB Joshua baada ya Mnigeria kumwacha solemba...
oops nimechoka kutype nitarudi
 
Inavyoonekana wewe umedata na huyo jamaa cuz ni mghana na c vinginevo..hebu tulia na mtz..kwani uyo mghana uzijui tabia zake..maoni yangu ni hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…