Nimedondokea kwa kaka niliekutana nae facebook

Yaonekana hayuko sirias na uhusiano wentu coz ugomvi kidogo tu ......hukimbilia kuuliza kama tunaachana au laaaa...nami ntajibu nini badala ya kusema hapana
Lame excuse....... Yaani hata haujajipa hata muda na mustakabali wa kufikiria maisha yako kwanza, yaani unaacha huyu unashika yule au ndio kwa vile umesikia huyo mghana ni President wa kampuni (Sijui kama anasema kweli au la maana mimi mwenyewe naweza kukuhadaa nikatengeneza website nikaweka picha yangu kusema mimi ni CEO wa kampuni fulani ambayo hata it does not exist) ndio unashawishika yaani bibie unataka kurudi rivasi kwa kutumia handbreak by the way sisi tunasema tu at the end of the day you know what is right and wrong for you maana huwa hamchelewi kuja na kuanzisha thread tena "Jamani yule kaka mghana niliyempata facebook ni tapeli"

Inavyoonekana wewe umedata na huyo jamaa cuz ni mghana na c vinginevo..hebu tulia na mtz..kwani uyo mghana uzijui tabia zake..maoni yangu ni hayo.
Binti ameishaambiwa jamaa ni President sijui wa kampuni gani kwanini asidate

Nyumba kubwa Thanks

But haya yameanza hata kabla cjamfahamu Mghana
Umewahi kujadiliana nae kujua chanzo cha mkwaruzano wenu? Sikushauri uachane na mpenzi wako kisa huyo mghana....

Inavyoonekana wewe umedata na huyo jamaa cuz ni mghana na c vinginevo..hebu tulia na mtz..kwani uyo mghana uzijui tabia zake..maoni yangu ni hayo.

Si hivyo tu, pia jamaa kamwambia yeye ni President wa kampuni, na ina website ambayo mrembo ka browse na kukuta ni kweli. Basi mtoto wa kike kadata kabisa. Kwani hata mimi nikianzisha Masaki Enteprises Ltd, nikaifungulia na website (mara ya mwisho kulipia website hosting ilikuwa dola 100 kwa mwaka, very affordable). Nikajiweka pale kwamba ni president wakati kampuni yenyewe mapato yake hayazidi hata Shs. milini 2 kwa mwaka, naweza kuwapanga warembo wa kwenye facebook mpaka basi. Bahati nzuri sisi wengine si mafisadi wa mapenzi!

ana ndoto za kuwa first lady...

Ni kweli...mia

ana ndoto za kuwa first lady...

Hahahaha! Ndio maana unaambiwa, akili za kuambiwa changanya na za kwako. It's very easy for someone to fake his identity on the net. Ila ndio hivyo, yaelekea huyu dada hana exposure ya kutosha. Tumsadie tu mawazo ili asijenasa kwenye huo mtego wa tapeli wa mapenzi!

Thanks Russian
amekwisha niambia kampuni anoyofanya kazi na nimetafuta web yake kweli iko na yeye ndo president.....ni yeye ndo anataka kuja kunipa hi c mimi naenda....
Kamba tu hizo....naweza nikatengeneza website ya kampuni feki nikajiita CEO,nikapata mpaka dili na serikali ya TZ.Haichukui hata masaa mawili,mpe uraia huyo mpopo aje kuiba dhahabu zetu.
Phew!!..What a waste of "private parts"!

Hakuna haja ya kumnyali binti wa watu kiasi hicho watu mnavofanya.

Mshaurini tu mwisho wa siku ataamua mwenyewe.

Mmekuwa kama mbogo....wakaliii, jamani wadogo zenu wataogopa kuwaambia mambo yao!

Hivi ukimuacha rijali wako wa hapa halafu huko ukakutana na li LESBIAN flani utafanyaje? wengi wa West Africa huwa wanatuma picha ambazo sizo. nna scam emails lukuki za wanaojifanya wadada wa West Africa kumbe ni ma men!! wanakutumia picha fresh uki call anapewa mwananmke anaongea au sijui wanabadirisha sauti!! mwisho wa siku ukionekana umekole unaombwa dolari na wewe unajifanya ku care kumbeeeee umeingizwa chaka

Hakuna haja ya kumnyali binti wa watu kiasi hicho watu mnavofanya.

Mshaurini tu mwisho wa siku ataamua mwenyewe.

Mmekuwa kama mbogo....wakaliii, jamani wadogo zenu wataogopa kuwaambia mambo yao!

Na true you dey talk o.

Hawa watu wa Afrika ya Magharibi si waaminifu sana, Jaribu kumchunguza kwanza, kuna Case nyingi za watu kutapeliwa kupitia Internet, huwa wanajifanya wazuri sana kwenye Internet lakini mwisho wa siku unalizwa.
Kuwa mwangalifu na huyo CEO.
Lakini usisahau kuwa Furaha ya Maisha unaitengeneza mwenyewe.

Nenda Ghana wewe mbongo wa nini, Fanya vitu international. Achana na aneyukusumbua. We ota ndoto za kimweri ukapige dili kama ya Kahn USA>

Hiyo sasa ndiyo inayoitwa stereotyping! Watu wasio waaminifu wapo kila sehemu ya dunia hii. Hakuna sehemu iliyo na uhodhi wa hiyo sifa bainishi.

Na sio haki kuwapaka rangi ya utovu wa uaminifu watu wa Afrika Magharibiki kwa kutumia rangi moja na brashi moja. Kila mtu ahukumiwe kwa matendo yake mwenyewe na si sehemu atokayo wala mambo mengine yatutofautishayo sisi binadamu.

Wapo Watanzania wengi tu ambao hawana uaminifu katika mambo mengi. Kuna mtu humu alikuja kulia kuwa mwanamke wake kamtenda. Maumivu yalizidi hadi akashindwa kujizuia na kuja kuweka mambo yake humu ili apate faraja za waja. Sasa ndiyo tuseme tuwe waangalifu na wanawake wa ki-Tanzania kwa sababu jamaa alitendwa?

La msingi ni kuwa mwangalifu tu kwa ujumla na hususan na watu wapya unaokutana nao. Haijalishi umekutana nao wapi na wao wanatokea wapi. Uangalifu na mwendo wa taratibu bila kujali tofauti za watu ndiyo busara na hekima.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…