Nimedondokea kwa kaka niliekutana nae facebook

Kwa kweli tumlaumu huyo bf wake wa ki tz kwa makosa
mpaka dada anataka kuangukia kwa mghana.......

wala usijali vipondo flovans, haya mambo haya mjuzi! Yanawapata wajanja wa mjini na wakuja hali kadhalika.

Mtu anadanganywa hata na yule waliyefahamiana kwa muda mrefu(kuonana)

Cha muhimu wewe chukua ushauri na vipondo na kejeli viache

Kwa kweli tumlaumu huyo bf wake wa ki tz kwa makosa

mpaka dada anataka kuangukia kwa mghana.......

Kumlaumu sioni busara, maana hata yy flovans usikute anachangia kumfanya jamaa yake aishie kusema 'Tunaachana au...' wengine tunakoseaga kuangalia mapungufu ya wenzetu na kusahau mangapi yetu wao wanatuvumilia. Matokeo yake tunakimbilia kufanya maamuzi yanayoweza kutugharimu zaidi....

Flovans, ongea na mwenzako, inaweza kusaidia kutatua hiyo mizozo.

Ur nt normal u need brain therapy, don't get scared from my comment am a psychoanalytic expert.

Mimi nakushauri hata huyo bf wako wa sasa umuelekeze ulivo hook kupitia face book ili naye atafute mghana wa kike hapo utakuwa umemtendea haki. u never know siku moja mnaweza kukutana ghana wote mmekwishakuwa disappointed na mapenzi yao mkarudiana!

Tene nilisahau kukwambia kkuwa hauko peke yako hata mpenzi wangu aliwahi kupata mpenzi ndani ya net akamwambia siri zake na zangu zote mpaka za kitandani! hapo ni kwa charts na picha bila kuonana physically!

What happened mke wa jamaa akawashtukia na kumfungukia mwizi wake kwamba anakudanganya sio mkurugenzi ni dreva na sio single ni married mke wake ni mimi na tuna watoto watatu.

Ila nilimsamehe na bado niko naye mpaka sasa ila siachagi kumuona allivyo mjinga kwani hajaacha kutafuta wanaume kwa njia hiyo na kuwakaribisha kumvua k...... yake!!

Kuna wakati katika TV za dini za kikristo zaidi Emmanuel tv ya T.B JOSHUA wa NIGERIA walikuwa wanatoa tahadhari kwa wanaume na wanaweka wanaopata wenza kupitia mitandao ya kijamii kuwa waangalifu na watu wa aina hiyo ambao hauwafahamu kwani kuna watu waliishia kuwa na mahusiano na majini mahaba na matokeo yake wanatokewa usiku na watu hao (majini) kwenye ndoto na kufanya nao mapenzi. Walipona baada ya kuombewa, kuwa makini na watu wa namna hiyo usije kuishia kuwa uhusiano na jini badala ya binadamu mwenzako. Siyo vizuri kumu-add mtu kwenye facebook kama haumfahamu.

Utamaliza mabucha dadaaa, ila nyama utakayoipata ni ileile. Utamu utakaopata kutoka kwa mghana hauna tofauti na wa huyo mshikaji. Alafu, je umemwambia mshikaji kuwa kuna jamaa wa kighana umemzimikia na je, is he okay with that? Je kama ndiyo mshikaji is telling you the same habari, frankly speaking, from deep inside your heart, what would you feel? Acha hizo bana.

do you want to die try so and you can see what will happen to you..

Wewe unapenda kushea???

Thanks The boss but hata angesema anataka kushare bado nicngeweza kuwa two in one....Kinachoniumiza ni jinsi gani ntaachana na huyu mtz

Kwa nn ushindwe wakati umeweza kumchanganya bf wako na huyo mghana? Au unadhani ku cheat ni mpaka kitendo kifanyike?kama hupendi kuchanganywa na wewe usiwafanyie wengine.

heheee sipati picha eti unaolewa kwa mbwembwe halafu unapelekwa sudan kusini /zimbabwe mbona utakumbuka kijijini kwenu ambako hata babako hakuthubutu kukuacha kwa bibi yako !!!!! masaki si kila mtu amewahi kuvuka mipaka kaka, kwa wacheche tuliiobahatika hilo tunaweza kujua thamani ya tanzania angalau si kwa yote lakini tanzania pana maisha mazuri ukituliza akili

ushauri wako umeenda shule.
Kwa kuongezea, asimpe ukaribu zaidi hadi hado atakapomuelewa vizuri.

Unapofanya maamuzi yako kumbuka HAKUNA ready made love. So kumpata mghana tu sio solution jenga mapenzi na uliye naye vinginevyo utakuwa unaongeza idadi ya wapenzi kadili ya unavo fungua face book

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…