nasri athumani
Member
- Jul 13, 2011
- 64
- 8
<br />Ntarudi baadae, ngoja kwanza nizimue na kagrants kangu kalikobakia jana
Nchi haieleweki hii acha tunywe tu<br />
<br />
Duh! Asubuhi yote hii mkuu duh? Pombe ni nooumer!
...anataka niachane na mpenzi wangu wa kitanzania coz hapendi kushea mpenzi.Nimempenda sana ila cjui kama ni kosa kupenda kwa aina hii...ushauri wenu wana JF
Abegwoo abegwoo chinekee all dem people are doin fine ohooo, i got no moniii to go Ghana ohooo talk to papa and broda to talk to my sistoo to send me moniii i want to go to Ghana and Abuja i have seen some beautiful Ghana women tell papa to send me moniii plz abegwoo abegwoo
hey onkokooo wat is ths now ohhhh...you are tellng me practically to send u to anaza gel....infact the cast one from ghana?.....ohh brazaaa ova ma ded body yoooo i wont do dat....
ehh incheme ..wor out ohh i wl send emeka to give u some naira and fasta u should go to songea...infakt peramiho to collect a beautfull woman by the name of KADALA....EHH no wonderr ohh our aunt inn ngoz is there to take u there....
m just finalizing my popa wek..here in lagos after 2days i wl go to naija....!!!
c u
Kila mtu hukutana na mwenza wake katika mazingira tofauti....mwenzenu nimempenda kija wa Kighana ambaye nimekutana nae facebook.Mara nyingi huwasiliana kwa email na simu,nimwenye maongezi ya upole,tumebadirishana historia za mapenzi yetu na kuaidiana kutembeleana soon...anataka niachane na mpenzi wangu wa kitanzania coz hapendi kushea mpenzi.Nimempenda sana ila cjui kama ni kosa kupenda kwa aina hii...ushauri wenu wana JF
Nikushukuru kwa kuwa muwazi kth hili mkuu kwani ni wachache sana ktk wengi wasemao ukweli! Ni mara kadhaa sasa kusikia haya so sina shaka juu ya kutokea kwa hili. Nakushauri uendeleze mahusiano nae coz mwanzo wa mapenzi/mahusiano hauna formula, ni swala la kihisia zaidi so go ahead dada bt mchunguzane kitabia na kimienendo yenu kucheck km mwaendana!
Nakushahuri SANA usiachane na mpenzi wako, usiendi Ghana kumuona. Hakikisha yeye anakuja kukuona ulipo sababu ni familiar groung. Akae wiki kadhaa, umsome. Kama unaweza muombe kukutana na ndugu zake kadha online. Kama alikwambia alisoma shule fulani ao University fulani tafuta jina lake kwa old students. kama anafanya kazi jaribu kucheki ni campuni gani. kwenye face book ingia kwa relations zake uwaone wamekaaje.
Be VERY cautious.
Dada Flo
Najaribu kutafakari afta 2 months na mghana ambaye umegundua yuko sawa na huyo m-tz kitabia, than akakutokea Mfaransa ambaye kajitambulisha ni President wa Kampuni fulani kule Paris, sijui utamtosa mghana??
Then baadae akaja, M-Brazil, Mjerumani, Mrusi, . . . . . daaaah utakuwa umetalii vya kutosha sana!
Sijui unaelewa nataka kukufikishia ujumbe gani . . . . .
Wake UP Ladies . . . .. !!!
Kila mtu hukutana na mwenza wake katika mazingira tofauti....mwenzenu nimempenda kija wa Kighana ambaye nimekutana nae facebook.Mara nyingi huwasiliana kwa email na simu,nimwenye maongezi ya upole,tumebadirishana historia za mapenzi yetu na kuaidiana kutembeleana soon...anataka niachane na mpenzi wangu wa kitanzania coz hapendi kushea mpenzi.Nimempenda sana ila cjui kama ni kosa kupenda kwa aina hii...ushauri wenu wana JF