Nimedumu naye kwenye Mahusiano miaka 3, leo anasema mwanaume atakayenioa ana bahati

Dyadyaa sio wanaume uchwara wa siku hizi?? Yaani huo muda wa kujuana, kufahamiana na kuzoeana, hakikisha hakuna sex, ikiwepo tyuu bas na hela au huduma iwepo, la sivyo, ni mmoko kutapeliwaaaa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kutoa uchi sio sababu ya kupewa pesa maana wote mna enjoy hapo. Kuhusu pesa kila mmoja atumie za kwake kama hana akopeshwe kisha arudishe.
Wote mna enjoy??? Nani kaanza kumfata wenzake? Ukiona wee pekee ako huwezi kuji enjoy hadi mwingine wa pembeni awepo, basi kubali kugharamikia,

Huo utapeli wa hivyo, unawapata km huyu mtoa mada, Lol.
 
Punguza presha bi dada!!!

Yeye kasema mwanaume atakaekuoa, kwani yeye ni mwanamke?

Huenda anajisemea yeye mwenyewe amepata bahati
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapo lengo ni kuila hela ya mwanaume so na huyo me kaona huyu mpigaji kwahyo akakuwah then ww ukajiona duh hahahaha
 
Yaani Sex unampa for free, tena anaichapa hadi inachanganyikiwa, afu wee kuomba hela au huduma aaah, eti atapata mshawasha wa kukuoa? Unawajua wanaume au unawasikia??
πŸ˜‚πŸ€£
 
Umesifiwa wife material unaleta ngebe kwani kasema hakutaki tena? don't be so clingy, japo kwa umri huo uliyosema taa nyekundu ishawaka kama uko dar ni muda muafaka wa kuanza kuhudhuria viwanja vya kawe kwa mwamposa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…