Nimeenda kikao cha shule na gari yangu Subaru Forester, walimu wakanishangaa

Nimeenda kikao cha shule na gari yangu Subaru Forester, walimu wakanishangaa

Models za magari zinatofautiana bei wajinga nyie. Unaweza kuwa na range rover sport ya mwaka 2005 na mwingine akawa na range rover sport ya mwaka 2023 , zote ni range rover sport lakini je zinalingana thamani? Kenge nyie walimu mnadhani subaru nayozungumzia apa ni izo za kwenu za zamani.ualimu ni ujinga.
Punguza ushamba mkuu ooops
 
Shida ya walimu kinacho waponza ni uchawa wa kujipendekeza kwa wanasiasa na wakati wao hata hawana mpango nao zaidi zaidi nikuwafanya dalaja kuwin mipango yao
 
Juzi nilipita eneo fulani kulikuwa na kikao cha walimu tena wakuu wa shule aisee!

Kwanza picha linaanza nimeshuka kwenye gari subaru forester xt sport nyeusi tii inayoshine, aisee hayo macho ya walimu wakuu waliogeuka kuishangaa gari sijapata kuona, nikawapita kwenda duka la mpesa wapo wengiiii kama siafu bado wanashangaa . Ukiwacheki walivovaa sasa wameva kishamba na makofia ya cowboy na mitai ya wapi sijui

Nikaangaza huku na kule nikaona wanazidi kuingia wengine wengi kwa miguu, wengine kwa li costa fulani dcm limechoka kishenzi limetokea huko Kwimba. Mmoja au wawili tu ndo walikuja na private car na zenyewe ni rav v 4 na corola za zamani zimechoka na kukongoroka balaa halafu chafu, aisee ualimu kweli ni kazi ya laaana!

Muepushe kabisa mwanao na huu ujinga!!
Huu ni ushamba.
 
tuambie na wewe ulivaaje au ulivaa nini,na sisi tutajua ulivaa nguo au matambala mchina tu ya kariakoo.
 
Juzi nilipita eneo fulani kulikuwa na kikao cha walimu tena wakuu wa shule aisee!

Kwanza picha linaanza nimeshuka kwenye gari subaru forester xt sport nyeusi tii inayoshine, aisee hayo macho ya walimu wakuu waliogeuka kuishangaa gari sijapata kuona, nikawapita kwenda duka la mpesa wapo wengiiii kama siafu bado wanashangaa . Ukiwacheki walivovaa sasa wameva kishamba na makofia ya cowboy na mitai ya wapi sijui

Nikaangaza huku na kule nikaona wanazidi kuingia wengine wengi kwa miguu, wengine kwa li costa fulani dcm limechoka kishenzi limetokea huko Kwimba. Mmoja au wawili tu ndo walikuja na private car na zenyewe ni rav v 4 na corola za zamani zimechoka na kukongoroka balaa halafu chafu, aisee ualimu kweli ni kazi ya laaana!

Muepushe kabisa mwanao na huu ujinga!!

Shule gani hiyo? Maana shule zote mimi nimeenda packing zipo mbali na majengo ya utawala, labda utake waonyesha, ila by default hawawezi liona wala kulishangaa...

Walimu wenyewe ndo hawa wenye access na mikopo washangae gari lako?
 
Watu hawataki ujinga humu,mi mwenyewe sio mwalimu ila nimemmind kishenzy 🤦
Waswahili walivyosema "Masikini akipata, matako hulia mbwata" walikuwa washajua kutakuwa na watu hawa.

Kulia mbwata kwenyewe ndio huku sasa.

Gari chombo cha usafiri kashakifanya chombo cha kunyanyasa umma?
 
Mimi ni mwalimu, Sina gari yoyote hata pikipiki Sina.. Nashukuru kijana wangu
Acha unyonge Tichaa, ila tukiwakuta kwenye 18 zenu mnakuaga wanokoo stress za home kumshushia mtu stick kama punda au kushupalia atimuliwe 😂😂

Ila sio kinyoonge kihivo bana we applaud you guys, watu muhimu mnooo 🤝
 
Icho kigari utakuta cha babayako ama mamayako kastaafu akanunua maana ukiwa na gari hulioni big deal unazoea tuu!! Mshamba kweli ww
 
Waswahili walivyosema "Masikini akipata, matako hulia mbwata" walikuwa washajua kutakuwa na watu hawa.

Kulia mbwata kwenyewe ndio huku sasa.

Gari chombo cha usafiri kashakifanya chombo cha kunyanyasa umma?
Imagine zama hizi za kunyanyasa na kusimanga watu kisa gari??yake yamelia mbwata sana aiseeee
 
Na hiyo Subaru Forester umeipata kwa kuazima kwa Steven Makasi kwasabab ulimpanulia tgo akakujaza dudu... Yaani umeenda Kijijini Kwimba kupanua tgo ili upate pesa ya kuunga bando... Kijana wa hovyo kabisa...
 
Back
Top Bottom