Nimeenda kikao cha shule na gari yangu Subaru Forester, walimu wakanishangaa

Punguza ushamba mkuu ooops
 
Shida ya walimu kinacho waponza ni uchawa wa kujipendekeza kwa wanasiasa na wakati wao hata hawana mpango nao zaidi zaidi nikuwafanya dalaja kuwin mipango yao
 
Huu ni ushamba.
 
tuambie na wewe ulivaaje au ulivaa nini,na sisi tutajua ulivaa nguo au matambala mchina tu ya kariakoo.
 


Shule gani hiyo? Maana shule zote mimi nimeenda packing zipo mbali na majengo ya utawala, labda utake waonyesha, ila by default hawawezi liona wala kulishangaa...

Walimu wenyewe ndo hawa wenye access na mikopo washangae gari lako?
 
Watu hawataki ujinga humu,mi mwenyewe sio mwalimu ila nimemmind kishenzy 🀦
Waswahili walivyosema "Masikini akipata, matako hulia mbwata" walikuwa washajua kutakuwa na watu hawa.

Kulia mbwata kwenyewe ndio huku sasa.

Gari chombo cha usafiri kashakifanya chombo cha kunyanyasa umma?
 
Mimi ni mwalimu, Sina gari yoyote hata pikipiki Sina.. Nashukuru kijana wangu
Acha unyonge Tichaa, ila tukiwakuta kwenye 18 zenu mnakuaga wanokoo stress za home kumshushia mtu stick kama punda au kushupalia atimuliwe πŸ˜‚πŸ˜‚

Ila sio kinyoonge kihivo bana we applaud you guys, watu muhimu mnooo 🀝
 
Icho kigari utakuta cha babayako ama mamayako kastaafu akanunua maana ukiwa na gari hulioni big deal unazoea tuu!! Mshamba kweli ww
 
Waswahili walivyosema "Masikini akipata, matako hulia mbwata" walikuwa washajua kutakuwa na watu hawa.

Kulia mbwata kwenyewe ndio huku sasa.

Gari chombo cha usafiri kashakifanya chombo cha kunyanyasa umma?
Imagine zama hizi za kunyanyasa na kusimanga watu kisa gari??yake yamelia mbwata sana aiseeee
 
Na hiyo Subaru Forester umeipata kwa kuazima kwa Steven Makasi kwasabab ulimpanulia tgo akakujaza dudu... Yaani umeenda Kijijini Kwimba kupanua tgo ili upate pesa ya kuunga bando... Kijana wa hovyo kabisa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…