Nimeenda kikao cha shule na gari yangu Subaru Forester, walimu wakanishangaa

Ila inaonekana members walimu wengi sana, wamemind kchz

Forrester ya mabox labda, mtu kafufua kaburi lako apo juu unaomba kaz ya kusimamia necta
Ivi uko shule mnaendaga kusomea ujinga??
Kwani kuomba kazi ya necta na kumiliki gari vinahusiana nini
 
MHAYA KWENYE UBORA WAKE....POPOTE WALIPO LAZIMA WAJITAMBULISHE.
 
What makes u think kwamba ni subaru ya 2008, kama ni model ya 2024 je?
Ivi uko shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
Nafikiri kuna uwezekano mkubwa ulikusudia kumnukuu mtu tofauti nami.

Hakuna popote nilipotaja Subaru ya 2008.
 
Mkuu hapo una Subaru mashauzi hivyo, ungekuwa na Rolls Royce tungepumua kweli?
nature ni halisi haikupi kitu cha maana kama kidogo unanyanyua bega hio ndio saizi yake akipata hizo atakanyaga watu kichwani.
 
nature ni halisi haikupi kitu cha maana kama kidogo unanyanyua bega hio ndio saizi yake akipata hizo atakanyaga watu kichwani.
Ivi uko shuleni mnaendaga kusomea ujinga?
Kwann focus imetoka kwenye kujadili hali duni za walimu kwenda kujadili subaru?
 
Hapa utakuta kote huku ni kujifariji, Kuna ticha amekula Mkeo/ pisi yako.. just umewaona tu ukajua ni walimu Tena walimu wakuu?.
NB. Kuna walimu Zaid ya 20 ninaoa wajua Wana push hizo Subaru XT mbona ni gar la Kila mtu!...
Any wayssss ni Ngoja nifundishe biology form two A,, afu Nika service I ST yangu
 
IST kwa sasa ina bei kubwa kuliko hiyo gari wanayoshangaa walimu chukua hii itakusaidia.
 
Ushamba na ulimbukeni unakusumbua yaani hako kasubaru forester ndio unaona umeula ? Yaani we kila anaekuangalia unadhanì anakuangalia sababu ya hiyo gari? Inawezekana mkeo analiwa na mkuu mmoja wa sbule sasa hapo ndio wanaambiana jamaa mwenyewe ndio huyu ambae mkewe analiwa na mwalimu mashishanga
 
anasema kweli ualimu sio kazi, sema tu uwasilishaji wake ndio changamoto
Kazi ni ipi?,kupiga debe,kuuza maji,kushona viatu,bwana shamba ,ukulima au na wengi wenu hapa hata kazi ya maana ya kuingiza kipato cha maana hamna mnajificha kwenye kichaka cha kudis walimu
 
Kazi ni ipi?,kupiga debe,kuuza maji,kushona viatu,bwana shamba ,ukulima au na wengi wenu hapa hata kazi ya maana ya kuingiza kipato cha maana hamna mnajificha kwenye kichaka cha kudis walimu
Vijana wengi wa humu ni hopeless kama umeshagundua hilo
 
Aliyepost anamihemko ya kishoga kisa yeye anagawa jicho lake ndio anataka walimu wamfuate shenzi sana WALIMU PIGENI KAZI MUNGU ATAWABARKI R.I.P BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS K. NYERERE
 
Kwani Kuna siku hao walimu walikuomba hela ya kula? Acha dharau dogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…