Nimefanikiwa kuacha kunywa soda

Nimefanikiwa kuacha kunywa soda

Mwaka 2017 nikiwa chuoni niliamua kuacha kunywa soda na soft drinks zingine baada ya kupima sukari na kukuta ikiwa juu kiasi.

Sasa imetimia miaka 4 bila kunywa na nimezoea kabisa.Najisi kuwa na afya njema sana na wala sitamani zaidi ya kuwaonea huruma wanaotumia. Asante Mungu!
Mimi nimeacha nina miezi 2 sasa ila bia nakunywa[emoji23]
 
Nyama, Maziwa, mayai, samaki havina madhara kwenye miili yetu. Kuna madokta feki kina Ndodi walitudanganya sana.

Wanga (ugali na wali), soda, pombe hivi ni hatari sana kwa afya zetu.
Tatizo la mfumo wetu wa maisha hasa kwa sisi ambao muda mwingi tunakula barabarani aisee kuacha wanga ni mtihani mkubwa sana. Hebu niambie sasa asubuhi utakunywa chai na nini kama sio chapati, mkate au mandazi? Hata ukila mihogo, viazi nk bado ni wanga ule ule. Haya mchana uniambie nisile wali wala ugali, ntakula nini sasa? Kwakweli ni ngumu sana.
 
Wenzio
Mwaka 2017 nikiwa chuoni niliamua kuacha kunywa soda na soft drinks zingine baada ya kupima sukari na kukuta ikiwa juu kiasi.

Sasa imetimia miaka 4 bila kunywa na nimezoea kabisa.Najisi kuwa na afya njema sana na wala sitamani zaidi ya kuwaonea huruma wanaotumia. Asante Mungu!
Wenzio wanatafuta pesa wewe una-struggle kuacha soda. Kweli wadangaji mna tabu
 
Tatizo la mfumo wetu wa maisha hasa kwa sisi ambao mda mwingi tunakula barabarani aisee kuacha wanga ni mtihani mkubwa sana. Hebu niambie sasa asubuhi utakunywa chai na nini kama sio chapati, mkate au mandazi? Hata ukila mihogo, viazi nk bado ni wanga ule ule. Haya mchana uniambie nisile wali wala ugali, ntakula nini sasa? Kwakweli ni ngumu sana.
Kweli mkuu ila tunatakiwa kula kwa kiasi. Ukubwa wa ugali inabidi iwe saizi ya ngumi yako. Sisi tunakula ugali mkubwa kiasi kwamba mtu aliyekaa upande wa pili humuoni. Tunakula ugali huku tumevua shati kuhakikisha ugali unaisha. Tunatakiwa tule ugali kidogo ila mbogamboga na matunda kwa wingi.
 
Kuleni chakula chochote, nilivyokuwa mdogo nilikuwa nasikia sigara ni hatari,lakini kuna mzee mmoja jirani yetu alikuwa anavuta kinoma. Hadi sasa amekuwa kikongwe lakini anapiga fegi na sijaona madhara. Asipovuta sigara anakuwa kama mgonjwa na alisema hataiacha sigara.

Pepsi mimi nilikuwa nakunywa hata 7 per day. Pepsi ya baridi ni nzuri sana wakati wa kiangazi ile jua limekupiga. Sijapata madhara wala nini. Nyama nakula sana tu.
 
Mwaka 2017 nikiwa chuoni niliamua kuacha kunywa soda na soft drinks zingine baada ya kupima sukari na kukuta ikiwa juu kiasi.

Sasa imetimia miaka 4 bila kunywa na nimezoea kabisa.Najisi kuwa na afya njema sana na wala sitamani zaidi ya kuwaonea huruma wanaotumia. Asante Mungu!
Karibu kwenye mtungi sasa

Uta enjoy

Ova
 
Mi nna kitambi flani hivi kitambi mchuchumio kinanikera....sijui hata nikifanye nini [emoji17]
Kama hiki mkuu!
JamiiForums1586920029.jpg
 
Kuleni chakula chochote, nilivyokuwa mdogo nilikuwa nasikia sigara ni hatari,lakini kuna mzee mmoja jirani yetu alikuwa anavuta kinoma. Hadi sasa amekuwa kikongwe lakini anapiga fegi na sijaona madhara. Asipovuta sigara anakuwa kama mgonjwa na alisema hataiacha sigara.

Pepsi mimi nilikuwa nakunywa hata 7 per day. Pepsi ya baridi ni nzuri sana wakati wa kiangazi ile jua limekupiga. Sijapata madhara wala nini. Nyama nakula sana tu.
Nimeishia kucheka hyo profile picha
 
Back
Top Bottom