Nimefanikiwa kuacha kunywa soda

Nimefanikiwa kuacha kunywa soda

Dada kitambi mchuchumio ndio kipoje? Hahaa
images (8).jpeg
 
Mwaka 2017 nikiwa chuoni niliamua kuacha kunywa soda na soft drinks zingine baada ya kupima sukari na kukuta ikiwa juu kiasi.

Sasa imetimia miaka 4 bila kunywa na nimezoea kabisa. Najisi kuwa na afya njema sana na wala sitamani zaidi ya kuwaonea huruma wanaotumia. Asante Mungu!
Kuna soda zimetengenezwa kwa wenye tatizo la sukar
 
Lakini kumbuka matunda mengi yana sukari ikiwa ni pamoja na asali. Sasa sijui ule nini sasa?
Kweli mkuu ila tunatakiwa kula kwa kiasi. Ukubwa wa ugali inabidi iwe saizi ya ngumi yako. Sisi tunakula ugali mkubwa kiasi kwamba mtu aliyekaa upande wa pili humuoni. Tunakula ugali huku tumevua shati kuhakikisha ugali unaisha. Tunatakiwa tule ugali kidogo ila mbogamboga na matunda kwa wingi.
 
Back
Top Bottom