Nimefanikiwa kuacha kunywa soda

Nimefanikiwa kuacha kunywa soda

Mwaka 2017 nikiwa chuoni niliamua kuacha kunywa soda na soft drinks zingine baada ya kupima sukari na kukuta ikiwa juu kiasi.

Sasa imetimia miaka 4 bila kunywa na nimezoea kabisa. Najisi kuwa na afya njema sana na wala sitamani zaidi ya kuwaonea huruma wanaotumia. Asante Mungu!
Hili ndio tatizo lenu masukariguru, sisi wanywa makali tuna miaka hatuzijui hizo mambo za sukari, ukinipa soda naenda kwa mangi namwambia anibadilishie nipate hata maji tu
 
You can't be serious ati kuacha soda ni zoezi gumu..[emoji23]
Hichi mbona kitu rahisi sana, mkuu Kama kuacha soda mpaka upambane vipi uraibu wa pombe je..? Punyeto vipi..?
Mkuu jitahidi uache aisee mi kinywaji Cha kiwandani nilichobakiza sahivi ni grand malt hii sidhani Kama nitaiacha japo huwa siinywi Mara kwa Mara..[emoji28]
Tena hiyo Grand Malt,ndo ilikalibia kuniua kabisa. Maana kila jioni baada ya kazi ilikuwa lazima ninywe. Baadae nikaanza kuhisi maumivu ya kipanda uso na kizunguzungu. Huo ndo ukawa mwanzo wa kuacha kabisa soft drinks.
 
Kuna mshikaji wangu alikua anakunywa Pepsi nne kwa siku.
Siku moja kaenda kunyoa saloon Sasa kinyozi anaendelea kunyoa kumbe jamaa kashakata Moto (kazimia) tulimbeba Kama gunia peleka nje apigwe na upepo
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] imebidi nicheke japo inahuzunisha.Duuu!
 
Tena hiyo Grand Malt,ndo ilikalibia kuniua kabisa. Maana kila jioni baada ya kazi ilikuwa lazima ninywe. Baadae nikaanza kuhisi maumivu ya kipanda uso na kizunguzungu. Huo ndo ukawa mwanzo wa kuacha kabisa soft drinks.
Naipenda Sana hii uzuri siinywi kwa pupa kwa mwezi Mara moja Tena hupita muda mrefu sometimes..
 
Me soda haina ishu kabisa.

Pombe mzee,pombe ndo natamani niache.
 
Mwaka 2017 nikiwa chuoni niliamua kuacha kunywa soda na soft drinks zote baada ya kupima sukari na kukuta ikiwa juu kiasi.

Sasa imetimia miaka 4 bila kunywa na nimezoea kabisa. Najihisi kuwa na afya njema sana na wala sitamani zaidi ya kuwaonea huruma wanaotumia. Asante Mungu!
Nlicha rasmi 1/1/2016-April 2021, nmerudia tena Soda ila nakunywa kukiwa na mazingira ya kufanya hivyo, tafaut na zaman, sikuwa nkinywa hata chai. Ni Pepsi na mie mchana kutwa, nlikuwa nakunywa had 5 kwa siku. Ila kwa sasa nakunywa 3 kwa wiki
 
Itakua ndio kimenichagua mimi kuwa mfano....[emoji17]
Pambana na mchuchumio kwa kuwa kina kwenda kubadilika soon kama virusi vya corona, mara alfa mara delta, sa sijui kutoka mchuchumio kitabadilika kuwa nini[emoji16][emoji23][emoji23]
 
Mkuu vipi ikatokea umeenda ugenini na ukakuta tayari umeshaandaliwa soda utaisusa, hii ndio changamoto yangu.
 
Nyama, Maziwa, mayai, samaki havina madhara kwenye miili yetu. Kuna madokta feki kina Ndodi walitudanganya sana.

Wanga (ugali na wali), soda, pombe hivi ni hatari sana kwa afya zetu.
Mimi ni shahidi wa hili mzee wangu amefanikiwa kubalance sukari kutoka 22 Hadi 6 kwa kuacha kula wanga tu anatumia mbogamboga matunda na aina zote za protein. Ni kweli tumedanganywa sanaa
 
Back
Top Bottom