Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka 2017 nikiwa chuoni niliamua kuacha kunywa soda na soft drinks zingine baada ya kupima sukari na kukuta ikiwa juu kiasi.
Sasa imetimia miaka 4 bila kunywa na nimezoea kabisa. Najisi kuwa na afya njema sana na wala sitamani zaidi ya kuwaonea huruma wanaotumia. Asante Mungu!
Sukari ina addiction kama ilivyo addictions nyinginezo. Siyo rahisi kuacha sukari kama udhaniavyo ila inawezekana kuacha. Kuiacha kwa ghafula au kupunguza huleta withdrawal symptoms ila baadaye mwili huzoea.You can't be serious ati kuacha soda ni zoezi gumu..😂
Hichi mbona kitu rahisi sana, mkuu Kama kuacha soda mpaka upambane vipi uraibu wa pombe je..? Punyeto vipi..?
Mkuu jitahidi uache aisee mi kinywaji Cha kiwandani nilichobakiza sahivi ni grand malt hii sidhani Kama nitaiacha japo huwa siinywi Mara kwa Mara..😅
Hongera MkuuMwaka 2017 nikiwa chuoni niliamua kuacha kunywa soda na soft drinks zingine baada ya kupima sukari na kukuta ikiwa juu kiasi.
Sasa imetimia miaka 4 bila kunywa na nimezoea kabisa. Najisi kuwa na afya njema sana na wala sitamani zaidi ya kuwaonea huruma wanaotumia. Asante Mungu!
Kama mtu anataka kuacha sukari basi aanze kula asali ni nzuri Sana hii kituSukari ina addiction kama ilivyo addictions nyinginezo. Siyo rahisi kuacha sukari kama udhaniavyo ila inawezekana kuacha. Kuiacha kwa ghafula au kupunguza huleta withdrawal symptoms ila baadaye mwili huzoea.
Ni kwa sababu matako ni hifadhi ya mafuta, hivyo mafuta yakipata sehemu nyingine lazima yapungue. Ndio maana wasichana wanamaumbo yenye uwiano mzuri lakini wakianza kuzaa na kula kiholela matako, hipsi inakuwa historia.Mkuu pambana hata kwa mazoezi ukitoe aisee. Hakuna kitu kinaharibu muonekano wa mwanamke kama kitambi. Na sijui ni kwanini kadri kitambi kinavyonawiri na huko nyuma ndio kunasinyaa? 😄
Vipi uzito umepungua?Soda sinywi juice ya kutengeneza nyumbani nakunywa ambayo haina sukari ...pepo limebaki kwenye gambee hii kitu kuacha nimeshindwa acha niendelee kunywa
Hongera mkuu eat healthy but in the end life is vanity and signifies nothingMwaka 2017 nikiwa chuoni niliamua kuacha kunywa soda na soft drinks zingine baada ya kupima sukari na kukuta ikiwa juu kiasi.
Sasa imetimia miaka 4 bila kunywa na nimezoea kabisa. Najisi kuwa na afya njema sana na wala sitamani zaidi ya kuwaonea huruma wanaotumia. Asante Mungu!
Yani mimi nilijikuta tu tangu mdogo sipendi ugali kabisa. Mpaka leo na kesho kwangu huwezi kuta kitu inaitwa unga.Kweli mkuu ila tunatakiwa kula kwa kiasi. Ukubwa wa ugali inabidi iwe saizi ya ngumi yako. Sisi tunakula ugali mkubwa kiasi kwamba mtu aliyekaa upande wa pili humuoni. Tunakula ugali huku tumevua shati kuhakikisha ugali unaisha. Tunatakiwa tule ugali kidogo ila mbogamboga na matunda kwa wingi.
Nyama ina shida gani?Mimi nimeacha mwezi huu na nyama pia nimeacha
Juice ya ndimu non sugar au maji ya vuguvugu 😁Mbadala wake ni upi mzee?