Nimefanikiwa kuacha kunywa soda

Nimefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuacha pepsi, najua sitaweza kuikwepa 100% lakini walau isiwe uraibu. Naweza kunywa moja kwa wiki toka 3 kwa siku, naona maendeleo mazuri ikiwemo kuongeza ufanisi katika kufikiria lakini pia hata performance ya game,
Pepsi kama Pepsi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa Hivi Una Sukari Kiasi Gani Mwilini
 
Chumvi sio mbaya sana ila ikiila nyingi italeta matatizo ya moyo na figo.
 
Hongera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…