Nimefanikiwa kuacha kunywa soda

Nimefanikiwa kuacha kunywa soda

Hata Mimi niliiacha kama wewe ila nikaanza Tena, kunywa soda achana na waongo wanao potosha kuhusu soda
 
Kuna mshikaji wangu alikua anakunywa Pepsi nne kwa siku. Siku moja kaenda kunyoa saloon Sasa kinyozi anaendelea kunyoa kumbe jamaa kashakata Moto (kazimia) tulimbeba Kama gunia peleka nje apigwe na upepo
Mlijuaje kwamba kuzimia kwake kulisababishwa na kunywa Pepsi nne. Wewe ni daktari?
 
Mimi nimefanikiwa kuacha uvivu na ujinga huu mwaka wa pili sasa
 
Back
Top Bottom