shukrani sana sanaaa kwa kusikiliza Tzgospel Radio, tumechanganya nyimbo za madhehebu yote ya kikristo kama unavo sema lakini na ndivo tutafanya kazi pamoja na madhebu yote ya kikristo wakati na mikatati ya kueneza injilo ni mikubwa ,kizuri zaidi soon tunaanza kupatikana kwenye nchi zaidi ya 40 upande wa satellite itaakua ndio radio pekee inayo sikika nchi nyingi zaidi,kwenye vingamuzi zaidi ya 8 pamoja na cable kama zote acha niishie hapo... mungu akubarikiKigger Kazi yako nzuri but fanya marekebisho kidogo
Kama ni Gospel na iwe hivyo usiweke miziki ya kidunia..
Waimbaji wa Injili Tz ni wengi hawa wa kizungu wanavuruga mno…
Inafurahisha hujachagua dhehebu (ndani ya Tz) unawapa wengi nafasi ya kuupenda muziki wetu wa Injili (Waimbaji WaTz)
Wakatoliki Wasabato Walutheran WaAnglican etc
All in All Kazi Nzuri
Ubarikiwe
Nami Nina ndoto ya kuwa na online radio natakiwa kulipia kiasi gani Ili radio isikike radio garden?shukrani sana sanaaa kwa kusikiliza Tzgospel Radio, tumechanganya nyimbo za madhehebu yote ya kikristo kama unavo sema lakini na ndivo tutafanya kazi pamoja na madhebu yote ya kikristo wakati na mikatati ya kueneza injilo ni mikubwa ,kizuri zaidi soon tunaanza kupatikana kwenye nchi zaidi ya 40 upande wa satellite itaakua ndio radio pekee inayo sikika nchi nyingi zaidi,kwenye vingamuzi zaidi ya 8 pamoja na cable kama zote acha niishie hapo... mungu akubariki
Vipi progress mkuu, unaendeleaje na redio yako?Kwa watumiaji wa Tecno Infinix na Itel mnaweza kusikiliza Tzgospel Radio kupitia app ya WOW FM kisha uta search Tzgospel radio utaanza kutusikiliza live mb 54 tu kwa lisaa utapata habari kutoka bbc na dw na tbc taifa pamoja na kbc taifa.
Baadhi ya vituo vyetu ambavo viko kila nchi apo unaweza kuona na idadi ya wasikilizaji
View attachment 2785644
Hongera kwa uthubutu mkuu. Mungu akusamamie ueneze injili ya Bwana wetu Yesu Kristo.Mnaweza kusikiliza hapa Tzgospel
bahati nzuri nimechaguliwa kwenye award ya tanzania emerging youth award 2022 itafanyika tarehe 27 aliyepo nyuma ya kiti cha waziri doroth gwajima ndio mwazilishi wa Tzgospel radio waziri kafurahi kuona namna radio yetu inafanya kazi amewaelekeza tcra kunisaidi sijui itakuwaje nlakini mi bado naendelea kumuomba MUNGU kila wakati kwa sasa inabidi tuingie kwenye kingamuzi wazo lilikuwa ni radio iingie kwenye kingamuzi lakini kwa sasa radio yetu na tv inabidi viingie kwenye vingamuzi asante kwa mdau jf amejitolea kuhakikisha nafanikiwa kwenye ilo. anasema tv tutawasha View attachment 2335856