Pakawa
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 7,973
- 13,647
Kigger Kazi yako nzuri but fanya marekebisho kidogo
Kama ni Gospel na iwe hivyo usiweke miziki ya kidunia..
Waimbaji wa Injili Tz ni wengi hawa wa kizungu wanavuruga mno…
Inafurahisha hujachagua dhehebu (ndani ya Tz) unawapa wengi nafasi ya kuupenda muziki wetu wa Injili (Waimbaji WaTz)
Wakatoliki Wasabato Walutheran WaAnglican etc
All in All Kazi Nzuri
Ubarikiwe