Nimefanikiwa kufungua online radio

Umefungua redio ya dini na unavunja sheria kwa kutoisajili Serikalini kupitia TCRA...kwa hiyo wewe ni mwizi unaiibia Serikali mapato yake. Umaana wa hiyo injili haupo. Ulifaa kuwa mfano uisajili kisha uendelee na uinjilishaji. I don't support your initiative kama unavunja sheria.
 
Motivational speakers hua mna mbwembwe.
 
Mungu akubariki sana mtumishi Kigger .
 
Hongera,ila jitahidi uisajili haraka Tcra,maana nakukumbusha tu mswada wa sheria ya habari ulisha sainiwa.
 
Da we kajamaa ni kakuda.
 
upako wa kibududani embu kuwa serious basi unavyo andika
 

upako wa kibududani embu kuwa serious basi unavyo andika
nitabadilisha nafikiri nimekosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…