Nimefanikiwa kufungua online radio

shukrani kaka,kwa saa 24 ni Gb 1.440 wastani kwa lisaa ni mb 60 tu haizidi apo ni kiasi kidogo cha mb
 
shalom
mrejesho
nimepokea pesa kutoka south africa kwa mwana jf amenitumia tsh 64482

pesa nyingine nimepokea kupitia world remit 23500 hiyo sujui aliye tuma ni nani mpaka sasa

nashukuru sana. sanaaa


apa nimesha pata mic 1 bado headphone na laptop
nimeanza mchakato wa kusajili nafikiri mwezi ujao nitakamilisha mungu awabariki
 
habari za wakati huu wadau jf ? Shalom nimepata fursa ya kuwania tuzo TANZANIA EMERGING YOUTH AWARD 2022 asanteni sana wana jf naamini walipata taarifa zangu hapa.
kusikiliza tzgospel online radio hapa


 
Nimependa hiyo. Katik orodha ya wtngazaji wa vipindi vy usiku (ikiwemo taarifa ya habari) weka na jina langu. Kam mdau aliyetangulia, sitaki kufa kabla sijasikika redioni.
 
Hongera Sana Kaka kwa hatua uliyofikia,hakika nimevutiwa! kwa kuwa uko kimataifa zaidi nashauri jaribu kuhariri kila unachokiandika ili kupunguza makosa ya Herufi au maneno ili uwe perfect zaidi! Unaweza tafuta mtu wa kupitia maandishi yako kabla hujayaweka mtandaoni.
 
Haujakamatwa
labda tcra wanisaidie maana nimefanya ubunifu wa kipekee sio kwamba tcra awajaniona hapana radio langu niya pili kusikilizwa baada ya. clouds utapitia hii chat hapa Free Internet Radio Stations - best Tanzania music and talk stations at Online Radio Box na hapo nimeenza tu mwaka jana mwishoni napata wasikilizaji hadi 500 kwa wakati 1 maana radio iko kila nchi

hakuna radio ambayo iko kila nchi zaidi ya tzgospel mfano radio iwe na frequency kila nchi ndio ilivo tzgospel radio

jambo la pili ni radio inajiunga na tbc taarifa ya habari saa 1 asubuhi mukhutasari 5 adhuhuri,saa kumi jioni na saa 2 usiku na kujiunga na dw 7 mchana na 12 jioni ila kwa dw ni ulimwengu wa habari pekee ake sio zaidi ya dakika 10 na hapo inajiunga yenyewe bila internet

hakuna radio yoyote duniani imefikia hivi nyingi wanaweka nyimbo tu basi nafikiri tcra wanisaidie hapo
 
asante
asante sana kaka nitaanza kufatilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…