Nimefanikiwa kuhamisha pesa kutoka Sudani kuja Tanzania kwa njia ya mpesa

Nimefanikiwa kuhamisha pesa kutoka Sudani kuja Tanzania kwa njia ya mpesa

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Karibuni niwe wakala wenu,
Nimefanikiwa kuhamisha pesa kutoka Sudani kuja Tanzania kwa njia ya mpesa.

Sasa nitaweza kuhamisha pesa kutoka mahali popote Africa kwa haraka.

Ahsanteni
 
Wakala unataka kufanya biashara kwa kificho? Biashara gani hizo sasa. Funguka watu wakuamini hizo nipesa na sio vocha za bando
 
Back
Top Bottom