Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
SawaKaribuni niwe wakala wenu,
Nimefanikiwa kuhamisha pesa kutoka Sudani kuja Tanzania kwa njia ya mpesa.
Sasa nitaweza kuhamisha pesa kutoka mahali popote Africa kwa haraka.
Ahsanteni
Kuna watu watanitafuta siku moja hapa.Uzi tayari.
Ukitaka kuhamisha utanitafuta. Hapa siwezi kueleza ni mambo ya siri rafiki.unahamishaje
Na wakoloni wangegoma kutupa elimu, wote leo tungekuwa mazuzuUkitaka kuhamisha utanitafuta. Hapa siwezi kueleza ni mambo ya siri rafiki.
HongeraKaribuni niwe wakala wenu,
Nimefanikiwa kuhamisha pesa kutoka Sudani kuja Tanzania kwa njia ya mpesa.
Sasa nitaweza kuhamisha pesa kutoka mahali popote Africa kwa haraka.
Ahsanteni
Sijagoma kufuatana na process yenyewe huwezi kueleza hapa hadharaniNa wakoloni wangegoma kutupa elimu, wote leo tungekuwa mazuzu
Naweza kutuma, nitafute mkuu. Njoo inbox nikupe namba yangu.
Wala sio kazi kuna akili inatumika, naweza kukueleza zaidi inbox. Hapa tutaharibu biashara za watu.Hongera
Ulifanyaje?
NimekuelewaSijagoma kufuatana na process yenyewe huwezi kueleza hapa hadharani
Sawa mkuuWala sio kazi kuna akili inatumika, naweza kukueleza zaidi inbox. Hapa tutaharibu biashara za watu.
Fedha gani?Karibuni niwe wakala wenu,
Nimefanikiwa kuhamisha pesa kutoka Sudani kuja Tanzania kwa njia ya mpesa.
Sasa nitaweza kuhamisha pesa kutoka mahali popote Africa kwa haraka.
Ahsanteni
Usiwe na mawazo potofuSubilini mlio
Tulia mkuu, watu wanaoelewa walishakujaWakala unataka kufanya biashara kwa kificho? Biashara gani hizo sasa. Funguka watu wakuamini hizo nipesa na sio vocha za bando