Nimefanikiwa kuhamisha pesa kutoka Sudani kuja Tanzania kwa njia ya mpesa

Tulia tulia
Tangazo lako limekaa kitapeli sana. Yaani wewe uhamishe hela kinyemela bila ya kufuata mfumo kwa kutumia mifumo ya Kampuni ya simu, inawezekanaje?

Kama siyo tapeli, maana yake unataka kutuambia ume-Hack mfumo wa Vodacoma jambo ambalo ni kosa la jinai. Hivi usalama wa mtoa fedha unahakikishwa na nani kwa mambo yanayofanyika kinyemela kama hili??
 
Watu kama ninyi mnatakiwa kutolewa jamii forum.
 
Yakikukuta siku ukiwa na shida nitafute nitakusaidia bure kabisa sihitaji pesa yako.
 
Watu kama ninyi mnatakiwa kutolewa jamii forum.
Kwenye maisha kila jambo linatakiwa lijengwe juu ya mantiki. Inawezekanaje utumie mfumo rasmi kukwepa mfumo rasmi bila kuudukua huo mfumo??

Ili hela itumwe kwa Mpesa ni lazima iwe kwenye mfumo wa Mpesa. Sasa wewe uliwezaje kuhamisha hela toka Sudan bila ya kutumia mfumo rasmi wa MPESA?
 
You have scam mentality, sorry.
 
Juzi tu hazizidi hata siku 4, umekuja kuuliza namna ya kutuma pesa Bongo toka Sudan, leo unataka kuwa Wakala!

By the way now days Kutuma pesa toka Nchi moja Mpaka nyingine imekua rahisi....!
Yes, Very easy. So why need a helping hand of a good Samaritan like Meneja Wa Makampuni ?
 
Viingereza ndiyo amekataa Albert Chalamila. Iwe ni "Negative Mindset" au "Scam mentality" Tangazo lako limekaa kitapeli sana. Huwezi kutumia mtandao wa VODACOM bila ya kufuata taratibu za VODACOM.
Tulia basi inatosha rafiki. Acha lawama rafiki. Kama huhitaji ni vyema ukatulia usije tapeliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…