peni yangu maisha yangu
Member
- Apr 20, 2024
- 56
- 117
Fungua Duka la Vifaa vya pkpk, usiwe na Tamaa ya kutaka Faida kubwa, pia Oil Tafuta Faida ndogo utapata wateja Wengi. Na wanaokuja kumwaga oil Buku iwe ya Fundi usichukie Wala kigawana hilo Buku na fundi utapata wateja Wengi sanaWakuu.
Nipo DSM nimeuza Nyumba ya urithi na kupata mgao wa mil 15 .
Naomba ushauri nifanye Biashara gani yenye low risk .
Niliwaza hizi Biashara
Money transactions
Duka la vipodozi ambalo litakuwa na cheap products .
Duka matumizi ya Nyumbani .
Biashara zote hizi nimezitengea mtaji mil 10 na mfanyakazi atakuwa mdogo wangu ambaye namuani Ila Kwa sasa Anasoma Kemeboss Form four nategmea akimaliza shule ndo nimtumie in my hustle.
Ushauri guyz
Habari ya kuzindika biashara ni uongo mtupu,Biashara zipo nyingi,
Ila kitendo cha kuanza kumshirikisha mdogo wako ni dhahiri unaizika biashara kabla hujaianza.
1.ajili biashara yako waone BRELA.
2.Jenga ukaribu na TRA.usisubiri task force ndiyo ulipe.
3.Weka bidhaa zilizothibitishwa na TBS,
4.Tafuta mganga , sheikh,mchungaji,mzuri aizindike hiyo biashara
Chukua yanayokufaa mengine achana nayo si saizi yakoHabari ya kuzindika biashara ni uongo mtupu,
Poor thoughts..Biashara zipo nyingi,
Ila kitendo cha kuanza kumshirikisha mdogo wako ni dhahiri unaizika biashara kabla hujaianza.
1.ajili biashara yako waone BRELA.
2.Jenga ukaribu na TRA.usisubiri task force ndiyo ulipe.
3.Weka bidhaa zilizothibitishwa na TBS,
4.Tafuta mganga , sheikh,mchungaji,mzuri aizindike hiyo biashara
Inua mabega ,tuone shati lako jipya litakaajePoor thoughts..
Sio kweli,mbina mnaamini wake zwnu ila sio ndugu acgeni ujingaHapo kwenye neno "mdogo wangu" ndipo lilipo anguko lako
Dodoma sehemu gani unaweza kufanya hiyo kituLeta 10ml tufungue genge la bei ya jumla dodoma utanishukuru baadae ,unauza vitu kutoka shambani unageuka soko dogo badala ya watu wote kwenda Sabasaba wanaishia kwako sija kulazimisha nime kupa wazo ambalo miezi miezi miwili ijayo naenda kulifanya
Pili fungua duka la electronics