Nimefanikiwa kupata mkopo wa Milioni 470 nimetenga kiasi hiki kwa ajili ya kujipongeza na watoto wakali

Hata hao waliokuwekea huo mkopo hamnazo tu.
 
Huyu jamaa ni chizi kabisa,nilimkuta Ubungo ana li bahasha kajaza makaratasi huku juu kaandaka"HIZI NI PESA.Nikashangaa sana
 
Bado, watu wanaonga maghorofa wewe unasema milioni 50?? We hukusikia baadhi ya viongozi wanawakodia maawala zao ndenge??
Mi sijafika huko mkuu. Na hiyo 50 si kwamba nampa yote. No hiyo nimetenga kwa ajili hiyo ya michakato.
 
Hii ndio Mjanja M1 anasemaga Job true true 😹😹🀣
 
...POLE...[emoji57][emoji57]

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 




Milioni 450 wanawake hawakutaki shida n nn Unanuka mdomo au ni hanidhi? au hawataki uwasage??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…