Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Kwenye list yangu namba 1 nimemweka Irene Uwoya. Huyu nimetenga mil 50 nimle na nyingine zitakaZo baki kuna wadada wengine 3 hawa mmoja naye ni muigizaji wengine si waigizaji.
Mkopo umefanikiwa juzi. Nimewekewa kwenye account yangu. Nikawaza hapa lazima nijipongeze. Si kitu kidogo. Miradi ambayo naenda fanya ili hitaji milion 350 tu. But niliongeza ili kiasi hicho kingine niweze fanyia mambo mengine ya ku enjoy life.
Najua kwa pesa hizo nikisafiri nje ya nchi maea 5 tu narudisha kwa kiwango kikubwa sana. Uzuri sisi tukisafiri tunalipwa per diem mara 2. ya ndani ya nchi na nje. Then imagine nakaa miezi 2 sometimes nje ya nchi.
So wadau tufanyeni kazi. Tuache kulalamika au kumlaumu rais. Pesa zipo ni uzembe wa watanzania wengi ndo issue.