Nimefanikiwa kutoroka

Karibu....na utuelezee vizuri kuhusu kofia za kwenu... Isije ikawa kofia za milembe, nashauri urudi au usiivue na kuitoboa huenda utakuwa hujamaliza dozi....anyway maliza chai uje utusimulie
 
Kwa nini haukutoboa kofia ili umalize tatizo kwako na kwa wengine ambao hawakustaili kuivaa au kofia ilikuwa ya chuma mkuu.
Hujamuelewa. Embu soma upya tafakar ni ujumbe upi anajarib kufikisha.
 
September 19, kijana bado mpyaaaa
 
Raha ya kofia hukuzuia na jua kali. kwa nyakati za mchana. Tatizo kapero haikupi uhuru wa kutizama juu kuwaona wakuu. We unasikia tuu sauti na unatekeleza. Muda wote macho chini kama kondoo wa kafara.

Kuivua Kapero lazima upepo ukupige usoni hasa kwenye macho hivyo kama hujajiandaa vya kutosha basi macho huweza kuingiwa na vumbi na mwishowe kuwa mabovu.

Hongera kwa kuvua kofia, najua unajidhatiti na upepo wenye vumbi
 
Karibu....na utuelezee vizuri kuhusu kofia za kwenu... Isije ikawa kofia za milembe, nashauri urudi au usiivue na kuitoboa huenda utakuwa hujamaliza dozi....anyway maliza chai uje utusimulie
Kwani ujui ninatafuta wenye CV ya ukichaa niwape vyeo serikalini tunaunda team milembe aka
White milembe magogoni
 
Sijaivua kofia; nimetoroka kabla hawajanivisha hiyo kofia, ndugu zangu wengi nimewakimbia, dada, kaka mke wangu na watoto - nisamehe ila nikifanikisha nitawarudia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…