Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Siku nyingine uandikege vitu vya kueleweka
find a deep meaning broViroba at work!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku nyingine uandikege vitu vya kueleweka
find a deep meaning broViroba at work!
Karibu....na utuelezee vizuri kuhusu kofia za kwenu... Isije ikawa kofia za milembe, nashauri urudi au usiivue na kuitoboa huenda utakuwa hujamaliza dozi....anyway maliza chai uje utusimulieKwetu hali ni mbaya sana ...
Kijana ukifikia miaka 15, unavishwa kakofia .. kofia hiyo inakusababishia matatizo makubwa sana. Huwezi kuuliza swali lolote .. na hata ukiuliza ukajibiwa huwezi kujua umejibiwa nini.
Ukishavishwa kofia unakuwa kama mtumwa wa fikra. Anachosema mmiliki wa kofia ndo hicho hicho. Akiamrisha kwenda kuwaua binadamu wenzio - wala huwezi kuhoji - ni kutekeleza amri tu.
Unajua nilifanikiwaje kutoroka huko kwetu ...
Alipatikana mtu mmoja ambaye alikuwa amevaa kofia ile kumbe ilikuwa ni kofia feki. Yeye alikuwa na uwezo wa kuhoji, na wenzake hawakumtambua kuwa kofia yake ilikuwa haifanyi kazi kama za wengine. Huyu ndo mkombozi wa wale ambao hawajavaa hizo kofia.
Kwetu .. sijajua itakuwaje baada ya miaka miwili kuanzia sasa.
Ebu nikanywe chai kwanza ila nikirudi nitawajuza zaidi kuhusu huko nilikotoka.
Nikaribisheni jamani ... naona hapa kuna uhuru wa kifikra.
sijamwelewa kabisa!! Labda hadithi yake imeanzia Mwishoni!!Kuna aliyemwelewa?
Hujamuelewa. Embu soma upya tafakar ni ujumbe upi anajarib kufikisha.Kwa nini haukutoboa kofia ili umalize tatizo kwako na kwa wengine ambao hawakustaili kuivaa au kofia ilikuwa ya chuma mkuu.
September 19, kijana bado mpyaaaaKwetu hali ni mbaya sana ...
Kijana ukifikia miaka 15, unavishwa kakofia .. kofia hiyo inakusababishia matatizo makubwa sana. Huwezi kuuliza swali lolote .. na hata ukiuliza ukajibiwa huwezi kujua umejibiwa nini.
Ukishavishwa kofia unakuwa kama mtumwa wa fikra. Anachosema mmiliki wa kofia ndo hicho hicho. Akiamrisha kwenda kuwaua binadamu wenzio - wala huwezi kuhoji - ni kutekeleza amri tu.
Unajua nilifanikiwaje kutoroka huko kwetu ...
Alipatikana mtu mmoja ambaye alikuwa amevaa kofia ile kumbe ilikuwa ni kofia feki. Yeye alikuwa na uwezo wa kuhoji, na wenzake hawakumtambua kuwa kofia yake ilikuwa haifanyi kazi kama za wengine. Huyu ndo mkombozi wa wale ambao hawajavaa hizo kofia.
Kwetu .. sijajua itakuwaje baada ya miaka miwili kuanzia sasa.
Ebu nikanywe chai kwanza ila nikirudi nitawajuza zaidi kuhusu huko nilikotoka.
Nikaribisheni jamani ... naona hapa kuna uhuru wa kifikra.
MimiKuna aliyemwelewa?
Huyo anaongelea siasa yeye ni mchumia tumboKuna aliyemwelewa?
Kwani ujui ninatafuta wenye CV ya ukichaa niwape vyeo serikalini tunaunda team milembe akaKaribu....na utuelezee vizuri kuhusu kofia za kwenu... Isije ikawa kofia za milembe, nashauri urudi au usiivue na kuitoboa huenda utakuwa hujamaliza dozi....anyway maliza chai uje utusimulie
Mimi nimeelewa sana, katoroka huko Greenwich...!Kuna aliyemwelewa?
Katoroka huko greenwich
Sijaivua kofia; nimetoroka kabla hawajanivisha hiyo kofia, ndugu zangu wengi nimewakimbia, dada, kaka mke wangu na watoto - nisamehe ila nikifanikisha nitawarudia.Raha ya kofia hukuzuia na jua kali. kwa nyakati za mchana. Tatizo kapero haikupi uhuru wa kutizama juu kuwaona wakuu. We unasikia tuu sauti na unatekeleza. Muda wote macho chini kama kondoo wa kafara.
Kuivua Kapero lazima upepo ukupige usoni hasa kwenye macho hivyo kama hujajiandaa vya kutosha basi macho huweza kuingiwa na vumbi na mwishowe kuwa mabovu.
Hongera kwa kuvua kofia, najua unajidhatiti na upepo wenye vumbi
Novel flani hivi imeandikwa white mountain ..Umeitumia lugha kiusanifu kweli kweli. Kongole kwako