Nimefanikiwa kutundika daluga pombe

Nimefanikiwa kutundika daluga pombe

mwaibile

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2022
Posts
727
Reaction score
2,004
I hope wote tuko good kwa nguvu ya God

Nimefanikiwa kuiacha pombe bila kufosiwa au kupata tukiololote nimeona kwa mda niliotumia sijapata faida yoyote zaidi ya kuuchosha mwili na kuishi maisha ya madeni kwa sababu ya pombe sitoi motivation ili watu waache pombe hapana pombe hailazimishwi kuacha mtu huuacha mwenyewe baada kuona faida na hasara zake mtu huacha mwenyewe niayo nawasilisha
 
I hope wote tuko good kwa nguvu ya god nimefanikiwa kuiacha pombe bila kufosiwa au kupata tukiololote nimeona kwa mda niliotumia sijapata faida yoyote zaidi ya kuuchosha mwili na kuishi maisha ya madeni kwa sababu ya pombe sitoi motivation ili watu waache pombe hapana pombe hailazimishwi kuacha mtu huuacha mwenyewe baada kuona faida na hasara zake mtu huacha mwenyewe niayo nawasilisha
Umepumzika tu mkuu, ukirudi nialike
 
Mkuu hongera acha nisherehekee mafanikio yako, karibu tusherehekee
IMG_20230924_215826.JPG
 
Back
Top Bottom