Nimefanikiwa kutundika daluga pombe

Nimefanikiwa kutundika daluga pombe

Uzi wangu huo pitia
 
I hope wote tuko good kwa nguvu ya God

Nimefanikiwa kuiacha pombe bila kufosiwa au kupata tukiololote nimeona kwa mda niliotumia sijapata faida yoyote zaidi ya kuuchosha mwili na kuishi maisha ya madeni kwa sababu ya pombe sitoi motivation ili watu waache pombe hapana pombe hailazimishwi kuacha mtu huuacha mwenyewe baada kuona faida na hasara zake mtu huacha mwenyewe niayo nawasilisha
Mbona huu uzi ukiusoma unaonesha dhahiri shahiri umelewa!
 
I hope wote tuko good kwa nguvu ya God

Nimefanikiwa kuiacha pombe bila kufosiwa au kupata tukiololote nimeona kwa mda niliotumia sijapata faida yoyote iazaidi ya kuuchosha mwili na kuishi maisha ya madeni kwa sababu ya pombe sitoi motivation ili watu waache pombe hapana pombe hailazimishwi kuacha mtu huuacha mwenyewe baada kuona faida na hasara zake mtu huacha mwenyewe niayo nawasilisha
Kwani ndugu uliwahi kupanda juu ya meza,kulala mvunguni,kulala barabarani au ulikuwa unaingia ndani ya chupa au mtungi kabisa🤔
 
I hope wote tuko good kwa nguvu ya God

Nimefanikiwa kuiacha pombe bila kufosiwa au kupata tukiololote nimeona kwa mda niliotumia sijapata faida yoyote zaidi ya kuuchosha mwili na kuishi maisha ya madeni kwa sababu ya pombe sitoi motivation ili watu waache pombe hapana pombe hailazimishwi kuacha mtu huuacha mwenyewe baada kuona faida na hasara zake mtu huacha mwenyewe niayo nawasilisha
Umelipumzisha Ini
 
Kwani ndugu uliwahi kupanda juu ya meza,kulala mvunguni,kulala barabarani au ulikuwa unaingia ndani ya chupa au mtungi kabisa🤔
Kwa kifupi kaka pombe inadhalilisha kuanzia kazini mpaka family huwezi pata dili kubwa la pesa kazini au family watu hawatokuamini kwa sababu ya pombe kwaiyo pombe inaondoa pia uwaminifu wako kwa watu
 
dah hongera sana mkuu, Mwenyezi Mungu aendelee kukubaliki juu ya suala hilo.

dah wengine budget ya pombe tu kwa mwezi ni basic salary ya mtu kwenye ofisi kubwa kabisa..
Ahsante tuko pamoja
 
I hope wote tuko good kwa nguvu ya God

Nimefanikiwa kuiacha pombe bila kufosiwa au kupata tukiololote nimeona kwa mda niliotumia sijapata faida yoyote zaidi ya kuuchosha mwili na kuishi maisha ya madeni kwa sababu ya pombe sitoi motivation ili watu waache pombe hapana pombe hailazimishwi kuacha mtu huuacha mwenyewe baada kuona faida na hasara zake mtu huacha mwenyewe niayo nawasilisha
sema tu umepunguza kunywa pombe kutundika daluga labda uhamie Pemba
 
Kitambo nilikuaga mlevi lkn nashukuru mungu siku hizi nimekua mnywaji nyagi mdogo nadailut na kisungura bas sina mambo mengi wala nin
JItahidi na hizo uziache maana ni pombe pia
 
Ukipata pesa lazima urudi mchezoni. Ni hayo tu

Back
Top Bottom