Nimefanikiwa kutundika daluga pombe

Nimefanikiwa kutundika daluga pombe

Kaka hata wiki ndo inazaa mwezi na mwezi ndo unazaa mwaka kwaiyo ndo mwanzo huo mpaka ntatimiza miezi na hatima mwaka na mwisho miaka kwa nguvu ya God kikubwa nishaweka nia na mungu atanisimamia kwa ili

Huijui pombe wewe
 
Kwa kifupi kaka pombe inadhalilisha kuanzia kazini mpaka family huwezi pata dili kubwa la pesa kazini au family watu hawatokuamini kwa sababu ya pombe kwaiyo pombe inaondoa pia uwaminifu wako kwa watu
Inategemea unywaji wako kama ni ule wa kutukana Watu,kulala mtaroni,kusinzia kwenye unywaji,kujitapikia kudhalilika ni lazima,ndio maana watengenezaji wanaandika onyo kuwakumbusha wanywaji Wanywe kwa kuwajibika.
 
Back
Top Bottom