Muuza Viat
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 2,826
- 7,388
Kitambo nilikuaga mlevi lkn nashukuru mungu siku hizi nimekua mnywaji nyagi mdogo nadailut na kisungura bas sina mambo mengi wala ninWalevi tukifuliaga hua tunakua na maneno matam sana....teh[emoji1787]