Umepumzika tu mkuu, ukirudi nialikeI hope wote tuko good kwa nguvu ya god nimefanikiwa kuiacha pombe bila kufosiwa au kupata tukiololote nimeona kwa mda niliotumia sijapata faida yoyote zaidi ya kuuchosha mwili na kuishi maisha ya madeni kwa sababu ya pombe sitoi motivation ili watu waache pombe hapana pombe hailazimishwi kuacha mtu huuacha mwenyewe baada kuona faida na hasara zake mtu huacha mwenyewe niayo nawasilisha
Ww piga gambe ikifika time yako utakuja kuacha mwenyewe pombe hainaga mwisho mzuri chief shitukaMkuu hongera acha nisherehekee mafanikio yako, karibu tusherehekeeView attachment 2761157
Sawa mkuu jana na leo najipooza kidogo wikiend to wikiend sio mbayaWw piga gambe ikifika time yako utakuja kuacha mwenyewe pombe hainaga mwisho mzuri chief shituka
Wiki ndio umeleta na nyuzi mkuu?Saiv na kwenda wiki sijagusa kabisa
Mitungi ya gesi[emoji41][emoji41][emoji41]Mkuu hongera acha nisherehekee mafanikio yako, karibu tusherehekeeView attachment 2761157
Ndio ndio mkuu acha tuchangie kodi ya taifa kidogo tujiungishe wenyewe si wanashawishiana waache pombe ili sisi tunaodili nazo tufilisikešMitungi ya gesi[emoji41][emoji41][emoji41]
Mkuu hili ndio la msingi mno.Sioni sababu ya kuacha pombe kwasababu naweza kuicontrol