Nimefanikiwa kutundika daluga pombe

Your browser is not able to display this video.
 
Kwahiyo mpka leo umekunywa nyumba ngapi?
 
Kwahiyo mpka leo umekunywa nyumba ngapi?
Ningekuwa na nyumba na usafiri wa kutembelea cha hajabu napanga bado hadi leo waliokuwa wanatuuzia washajenga na magari wanayo yakutembelea kupitia pesa yangu ya gambe aise niseme it's enough
 
Karibu......nakutia moyo 🙂wengi tumeacha kwa hiari....kimsingi pombe haina faida...alternative fanya ibada....mabadiliko utayaona na watu watakushangaa.
 
Tuko pmj mkuu ila Kuna changamoto utakutano anzo sna baada ya kuacha Kama mm nilikutana na upweke sna Mara baada ya kuacha pombe Ila sijarudi nyuma kabisa had Sasa Ni mwaka unapita bila kuguza vilevi Hadi home wanashangaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…