Nimefanikiwa kutundika daluga pombe



Uzi wangu huo pitia
 
Mbona huu uzi ukiusoma unaonesha dhahiri shahiri umelewa!
 
Kwani ndugu uliwahi kupanda juu ya meza,kulala mvunguni,kulala barabarani au ulikuwa unaingia ndani ya chupa au mtungi kabisašŸ¤”
 
Umelipumzisha Ini
 
Kwani ndugu uliwahi kupanda juu ya meza,kulala mvunguni,kulala barabarani au ulikuwa unaingia ndani ya chupa au mtungi kabisašŸ¤”
Kwa kifupi kaka pombe inadhalilisha kuanzia kazini mpaka family huwezi pata dili kubwa la pesa kazini au family watu hawatokuamini kwa sababu ya pombe kwaiyo pombe inaondoa pia uwaminifu wako kwa watu
 
dah hongera sana mkuu, Mwenyezi Mungu aendelee kukubaliki juu ya suala hilo.

dah wengine budget ya pombe tu kwa mwezi ni basic salary ya mtu kwenye ofisi kubwa kabisa..
Ahsante tuko pamoja
 
sema tu umepunguza kunywa pombe kutundika daluga labda uhamie Pemba
 
Kitambo nilikuaga mlevi lkn nashukuru mungu siku hizi nimekua mnywaji nyagi mdogo nadailut na kisungura bas sina mambo mengi wala nin
JItahidi na hizo uziache maana ni pombe pia
 
Ukipata pesa lazima urudi mchezoni. Ni hayo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…