Nimefanikiwa kuwauzia kanisa na msikiti eneo moja

Hakuna mwerevu wa kukubali hizo porojo za Chrislam....Maji ya chumvi na bahari hayawezi kuchanganya a Never!!!!
Hawa wamekutana kunywa kahawa? Na mkataba waliosaini Islam na Papa Ni wakunywa kahawa?
 
Attachments

  • FB_IMG_1653297359054.jpg
    39.9 KB · Views: 10
  • FB_IMG_1653297392423.jpg
    59.4 KB · Views: 8
Hawa wamekutana kunywa kahawa? Na mkataba waliosaini Islam na Papa Ni wakunywa kahawa?
Ila maadili ya hela haya ...maana Mimi mfiadini tu unaanzaje kunipeleka kanisani kirahisi hivyo...hapa lazma Kuna mchongo wa Pesa.
 
KUNA UBAYA GANI WAKRISTU NA WAISLAMU WAKIUNGANA ??
 
Kwanini usijenge wewe hicho kipande kilicho baki? Ili upate elimu ya dini zote?.
 
Maeneo ya kuabudia kama kanisa na misikiti hupimwa na kuidhinishwa na wizara ya ardhi kwa matumizi hayo! Hivyo acha kutudanganya.Labda kanisa la matuŕbai na vitu viwili au msikiti wa mtu mmoja!
Skwata hua anapima nani?
 
Nimeshuhudia sehemu waislamu wanang'oa msikiti kisa mbele mita 30 kuna kanisa.
Msikiti ulikuwa levo ya msingi.
Huwezi kung'oa msikiti ndungu, nadhani walifukua matofali ya msingi.
 
Hii ni 570 AD?
 
Tutarajie mwezi gani hicho mnachoita HQs kitafunguliwa ?

Na ksipofunguliwa mbinywe mbupu kwa kusema uongo.
Fatilia mambo watu wameshatia na sain na jengo limekamilika

Tatizo wafia din hamsomi mnasubiri pasaka had x mass padri akusomee ANDIKO moja ,
 
Maeneo ya kuabudia kama kanisa na misikiti hupimwa na kuidhinishwa na wizara ya ardhi kwa matumizi hayo! Hivyo acha kutudanganya.Labda kanisa la matuŕbai na vitu viwili au msikiti wa mtu mmoja!
Kwa akili yako hiyo wizara inafika kila sehem??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…