Nimefanya jambo la kijinga sana,sijui agent ananifikiriaje

Nimefanya jambo la kijinga sana,sijui agent ananifikiriaje

kukaa na pisi au mwanamke yeyote asiye na mtoto pembeni ila asiende age sana ni bomb sana utakula story kama ni mchokoa mada mzuri,,juzi kati nilienda arusha kwa bas baada ya miaka kibao ya kutotumia usafiri wa bus nilienjoy.....nilikula story kufika singida kutokea mwanza nkasema nauli yangu imeisha nastahili kulipia simulizi nyingine alafu demu alikuwa na bana ake kwenye gari walipandia njiani...alikuwa anaonaje wivu anamuita aende siti za nyuma hadi anamtuma yule muuza bidhaa....siku ya kurudi hivyo hivyo nimepanda nkapewa siri ya dirishani haifunguki kuna madam ana mtoto msumbufu wa kike alafu madamu ana kibendi kufika babati kakataa siti nkajiposition akaja pisi kali story mwanzo mwisho,....kumbe imebeba mbege pisi za kichaga bana...huku na huku sehemu ya luch tukaishare... alikuwa anapigika ila nkatunza heshima sikuchukua namba.... kwa hio ni jambo jema sana kukaa na pis kama pisi..kuna mmoja huyo nilikaa nae from dom to mwanza dhu....tulikuja kuishia anangangania ndoa tuaachana ila tulijenga uhusiano mkubwa sana enzi hizo...
 
Kuna siku nilipanda basi na mtu sijui anaongea lugha gani,kila saa ananiongelesha hiyo lugha,hajui kingreza wa kiswahili,sijui ni muhamiaji haramu .kuna mda niliona kitambulisho chake kuna neno kama sijakosea Republic of Urundi.Sikumbuki vema lakini niliona neno Urundi
 
Anyway lakini poa tu.

Nimetoka kukata ticket hapa Morogoro nina safari ya Mwanza kesho. Ghafla nikawaza toka mwaka uanze sijakaa siti moja na pisi kali. Kila nikisafiri nakaa na mabroo tu.

Ghafla nikapata akili,hivi siwezi kumpa tip agent aniweke siti moja na pisi kali? Nikajitoa ufahamu,nimempa agent buku 3 ili akipata pisi kali inakuja kukata tiketi aiambatanishe hapo kwenye siti yangu.

Agent nakutegemea sana broo. Kesho nitawapa feedback yatakayojiri
Kama hilo bus linatoka Dar utapata siti ya bench ndo ukome hahaaa nakutania bana
 
Hapo usiangalie hilo takko. Angalia movement ya Kiuno!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app

Ndo hizo hizo zinawapa amsha amsha akili inahama anamuona huyo ndo Beyonce kaja TZ anataka msubwete........!!😜

Akishamwaga ndo akili inarudi kuwa huyo ni ngiri (ngruwe)....!!!!😆😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom