Nimefanya kazi na wahindi wiki moja hawa jamaa wanapenda kupelekesha wabongo asee

Mazima1

Senior Member
Joined
Dec 31, 2020
Posts
192
Reaction score
550
Naandika hivi sio kwa sababu za kiubaguzi au vinginevyo,

Nimefanya kazi na wahindi ndani ya wiki moja asee Hawa watu wanapelekesha balaa
Sijui watu waliofanya nao kazi miaka kadhaa watakuwa na hali gani mentally

Nahisi ukiwafanyia vipimo utakuta Wana magonjwa ya moyo au pressure maana sio kwa kupelekeshwa vile

By the way nimewapiga chini haraka sana
Ila hawa watu kiboko aseeπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Kumfanyia kazi Mhindi inatakiwa uwe zezeta, na usiwe na hasira za karibu.

Unaweza kuua Jitu
 
Umewahi kupiga deal na wachina ?
 
Nilishawaambia hapa duniani waajiri ni wawili tuu. Mzungu na mjapan. Wengine wote tunafanya kwa sababu ya kuganga njaaa. Muajiri yee raha yake akuone muajiriwa unatahabika.
Alafu ndio utasikia tuanze kwa sala tufu ge kwa sala 🀣🀣🀣🀣

Mzungu na mjapan usikii ujinga wa sala wala nini lakini ndio wanajua kujali muajiriwa
 
Wahindi na wachna Hizi race mbili Wanafanya kazi kama mchwa,wanatunza muda.na huwezi kuzembea wakuangalie tu!
UKIWA MVIVU KAMA WALIVYO WATANZANIA WENGI.lazima uwachukie!
Acha uongo we kanjibahi.

Majamaa ni mapuuzi hayana yoyote. Nilishawahi ligonga moja wakati wa ujana wangu pale Usariver Arusha. Haiwezekani kwenye ardhi yangu Muhindi ambaye ana degree sawa nami na ameajiriwa ndani ya wiki akinikuta mi kazini anipelekeshe na kunifokea.

Nikamgonga na kumwambia hanifanyi lolote kwenye ardhi yangu.

Hao maskini sio wa kuwaendekeza. Naona tu wanavyowanyanyasa watu hapa Mafinga. 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…