Nimefanya kazi na wahindi wiki moja hawa jamaa wanapenda kupelekesha wabongo asee

Nimefanya kazi na wahindi wiki moja hawa jamaa wanapenda kupelekesha wabongo asee

Wahindi na wachna Hizi race mbili Wanafanya kazi kama mchwa,wanatunza muda.na huwezi kuzembea wakuangalie tu!
UKIWA MVIVU KAMA WALIVYO WATANZANIA WENGI.lazima uwachukie!
Huu ndio ukweli na mjadala ulipaawa kufungwa
 
Naandika hivi sio kwa sababu za kiubaguzi au vinginevyo,

Nimefanya kazi na wahindi ndani ya wiki moja asee Hawa watu wanapelekesha balaa
Sijui watu waliofanya nao kazi miaka kadhaa watakuwa na hali gani mentally

Nahisi ukiwafanyia vipimo utakuta Wana magonjwa ya moyo au pressure maana sio kwa kupelekeshwa vile

By the way nimewapiga chini haraka sana
Ila hawa watu kiboko asee🙌🙌🙌
Watanzania wengi ni wazembe, watoro na wezi wa mali ya muajiri. Mashirika ya umma yanakufa kwa sababu yamefuga watu kama Mazima1 kwa wingi
 
Kuna msemo usemao baniani mbaya kiatu chake dawa ukweli ni kwamba wahindi ndio jamiii pekee hapa nchini

Imetoa ajira nyingi kwa watanzania wa level zote kuliko jamii nyingine nyote

Ukweli ni kwamba wahindi wakisema wanafunga biashara zao na makampuni yao hapa nchini itakuwa ñi kilio
Wahindi ndio waajiri wakuu hapa Bongo
 
Kuna Jamaa ali tukanwa na muhindi tusi, naye aka rudisha lile lile.

muhindi si aka maindi Eti ana jifanya mkali, ali chezea mbata za chap na hamna mtu ali ingilia.
Eti kuja okoa Mimi, hii mtu taka toa mimi roho😂😆
Ni atari sana aisee mi nimefanya nao kaz kama miaka sita ivi sema mi nilikua kibur sana nlikua natukanana na boss kweny msg kama msela wangu tu kesho yake asbuh anawaita wale wazee waliokaa sana et wanisuluhishe aloo nlikua nawaleta sana akiongea na mi naongea kuna mda mwingine akitembea mi namcheka yan ilikua ni shida nikaj kuacha ile kaz kwa hiari yangu mwenyew na walisikitika sana saiv tunapishana barabaran akiniona anafurah tu yan saiv eshima kwa adabu
 
Wahindi ndio ma CEO kwenye makampuni makubwa huko Marekani wako vyema kwenye Management, mnapenda ujinga ujinga wale hawana.

Dangote hata kule kwao Nigeria kawakabidhi kila kitu Wahindi wasimamie
Wahindi wanapendwa kwenye hayo makampuni kwasababu ni waoga na watiifu. Na ni watu wanaojua kucheza na taarifa za kihasibu kwaajili masuala ya kodi.

Ndio maana hata kwa Dangote utawakuta idara ya uhasibu. Hakuna kingine.

Na ni wezi wanaiba *******.
 
Wahindi na wachna Hizi race mbili Wanafanya kazi kama mchwa,wanatunza muda.na huwezi kuzembea wakuangalie tu!
UKIWA MVIVU KAMA WALIVYO WATANZANIA WENGI.lazima uwachukie!
Mchina ni kweli anafanya kazi.

Mhindi hafanyi kazi. Anapelekesha watu tu ndio wamfanyie kazi, tena kwa ujira mdogo sana.
 
Naandika hivi sio kwa sababu za kiubaguzi au vinginevyo,

Nimefanya kazi na wahindi ndani ya wiki moja asee Hawa watu wanapelekesha balaa
Sijui watu waliofanya nao kazi miaka kadhaa watakuwa na hali gani mentally

Nahisi ukiwafanyia vipimo utakuta Wana magonjwa ya moyo au pressure maana sio kwa kupelekeshwa vile

By the way nimewapiga chini haraka sana
Ila hawa watu kiboko asee🙌🙌🙌
Majinga sana hao watu wanakulipa mshahara laki 3 alafu wanakupa mzigo wa millioni 30 ukauze wendawazimu kabisa..

Mimi mmoja nilimnyoosha kisawasawa na nikamchana kabisa mbona aliondoka kwao bila kupenda.
Kwanza biashara zenyewe magumashi mengi
 
Naandika hivi sio kwa sababu za kiubaguzi au vinginevyo,

Nimefanya kazi na wahindi ndani ya wiki moja asee Hawa watu wanapelekesha balaa
Sijui watu waliofanya nao kazi miaka kadhaa watakuwa na hali gani mentally

Nahisi ukiwafanyia vipimo utakuta Wana magonjwa ya moyo au pressure maana sio kwa kupelekeshwa vile

By the way nimewapiga chini haraka sana
Ila hawa watu kiboko asee🙌🙌🙌
Wabongo wengi ni wavivu.
 
Fanya kazi dogo acha uvivu
 
Nilishawaambia hapa duniani waajiri ni wawili tuu. Mzungu na mjapan. Wengine wote tunafanya kwa sababu ya kuganga njaaa. Muajiri yee raha yake akuone muajiriwa unatahabika.
Alafu ndio utasikia tuanze kwa sala tufu ge kwa sala 🤣🤣🤣🤣

Mzungu na mjapan usikii ujinga wa sala wala nini lakini ndio wanajua kujali muajiriwa
Hii ndio shida ya kufanya kazi kwa maskini mwenye uwezo wa milo mitatu anajiona Tajiri
 
Wahindi na wachina kiboko yao ni Askari( JW) na uhamiaji. Kama upo na connection na watu hao make sure siku moja wanakutembelea ofisini tena wakiwa wamevaa sare za jeshi. AMINI NAKWAMBIA HIYO HESHIMA UTAPATA MPAKA USHANGAE. Wanaogopa sana serikali
 
Back
Top Bottom