Hebu lete huo uziii kidogoKuna mtu aliandika Ule Uzi wa the dark side of business
Alisema hawa jamaa wanafanya energy manipulation kwa waswahili na mambo flani ya giza unabaki tu ukiwatumia wao na huendelei forever huku wao wakijitengenezea utajiri.
hahah uzuri hatujuaniUkute huyo boss wako mhindi ni Khanji kapoor
Naandika hivi sio kwa sababu za kiubaguzi au vinginevyo,
Nimefanya kazi na wahindi ndani ya wiki moja asee Hawa watu wanapelekesha balaa
Sijui watu waliofanya nao kazi miaka kadhaa watakuwa na hali gani mentally
Nahisi ukiwafanyia vipimo utakuta Wana magonjwa ya moyo au pressure maana sio kwa kupelekeshwa vile
By the way nimewapiga chini haraka sana
Ila hawa watu kiboko asee🙌🙌🙌
Yeah jamaa wapumbavu sana hata Mimi nimefanya naye kazi kama mhasibu wake yeye hajui chochote ila sasa anavyokuingilia kukupa maelekezo utazani yeye ndo professionalKuna siku nilipewa deal la kwenda kutengeneza simu iphone 12 pro max kwa muhindi ofisin kwake sayona alitaka niitengeneze hapo hapo ilikua nireplacement tu nikatoka na vifaa vyangu jamaa alivyonipokea akaanza kunipa maelekezo huku aknchukulia poa akaanza kuniharas wakati nafungua kioo asee siku hyo nlkua nshavurugwa na wife home niliwaka nae hakuamini nilkua nshaifungua simu nikamwambia siifungi nasepa zangu unaniona mm ni mpuuzi sielew nafanya nini ama? Nikafunga kimkoba changu cha tools akaita wenzie wakaja wawili wakawa watatu wakaanza chapa kihindi tu na mimi nimefyumu kinoma mmoja akaniulza changamoto nini nikamwambia amwambie atulie asinipelekeshe asinulize ulze sana na kunielekeza kitu najua, yule akanituliza nikafix akaanza oooh kioo kin danc dance haikua hvi nikamwambia nipe pesa nisepe akanilipa kwa hasira nikapokea kwa hasira akapiga simu kwa alieniunga nae asije nituma kwake tena 😂😂nilimuona ni mpumbavu sana.
Baadae naambiwa ni mla unga ule mda alikua na arosto huwa anakuaga hvyo nikaona nimpuuzi tu.
Wahindi ni wanaona watu weusi ni ng’ombe sijui.
Jamaa jau sana wanapenda kupelekesha watu as if wao ndo binadamu class A wengine takatakaKuna siku nilipewa deal la kwenda kutengeneza simu iphone 12 pro max kwa muhindi ofisin kwake sayona alitaka niitengeneze hapo hapo ilikua nireplacement tu nikatoka na vifaa vyangu jamaa alivyonipokea akaanza kunipa maelekezo huku aknchukulia poa akaanza kuniharas wakati nafungua kioo asee siku hyo nlkua nshavurugwa na wife home niliwaka nae hakuamini nilkua nshaifungua simu nikamwambia siifungi nasepa zangu unaniona mm ni mpuuzi sielew nafanya nini ama? Nikafunga kimkoba changu cha tools akaita wenzie wakaja wawili wakawa watatu wakaanza chapa kihindi tu na mimi nimefyumu kinoma mmoja akaniulza changamoto nini nikamwambia amwambie atulie asinipelekeshe asinulize ulze sana na kunielekeza kitu najua, yule akanituliza nikafix akaanza oooh kioo kin danc dance haikua hvi nikamwambia nipe pesa nisepe akanilipa kwa hasira nikapokea kwa hasira akapiga simu kwa alieniunga nae asije nituma kwake tena 😂😂nilimuona ni mpumbavu sana.
Baadae naambiwa ni mla unga ule mda alikua na arosto huwa anakuaga hvyo nikaona nimpuuzi tu.
Wahindi ni wanaona watu weusi ni ng’ombe sijui.
Kuna mswahili unamfahamu ametajirika akiwa anafanya kazi kwa hao jamaa?Kuna msemo usemao baniani mbaya kiatu chake dawa ukweli ni kwamba wahindi ndio jamiii pekee hapa nchini
Imetoa ajira nyingi kwa watanzania wa level zote kuliko jamii nyingine nyote
Ukweli ni kwamba wahindi wakisema wanafunga biashara zao na makampuni yao hapa nchini itakuwa ñi kilio
Back then nilishawahi kwenda kwenye kiwanda chao Cha Nondo pale mwenge wanalipa vibarua 5k kutwa na kazi ya kiwanda Cha Nondo ilivyoKuna msemo usemao baniani mbaya kiatu chake dawa ukweli ni kwamba wahindi ndio jamiii pekee hapa nchini
Imetoa ajira nyingi kwa watanzania wa level zote kuliko jamii nyingine nyote
Ukweli ni kwamba wahindi wakisema wanafunga biashara zao na makampuni yao hapa nchini itakuwa ñi kilio
Wahindi hawajatoa ajira. Wanaajiri vibarua.Kuna msemo usemao baniani mbaya kiatu chake dawa ukweli ni kwamba wahindi ndio jamiii pekee hapa nchini
Imetoa ajira nyingi kwa watanzania wa level zote kuliko jamii nyingine nyote
Ukweli ni kwamba wahindi wakisema wanafunga biashara zao na makampuni yao hapa nchini itakuwa ñi kilio
Kuna jamaa alikuwa anafanya kazi kwa mhindi, yani walikuwa wanapikiwa maharagwe ya wiki zima, Alafu yanawekwa kwenye friji, kwa hiyo wlikuwa wapika ugali wanapasha maharagwe na kuongeza mchuzi mpaka wiki ikate 😁😁😁.hahah
Kweli aisee, hata upande wa mbususu kwa mzungu rahisi kupewa ila siyo muhindi na mwarabu.Hamna bwana mzungu hakukandamizi kama hawa wengini mwarabu na mhindi.
Labda mzungu wa Ulaya magharibi,usiombe ukutane na vishoka (Ukrainian,Russian).Hao jamaa ni wapuuzi sana!Hamna bwana mzungu hakukandamizi kama hawa wengini mwarabu na mhindi.
Jikite kwenye hoja ....kila MTU ni maskini akipambanishwa na WA juu Yake.. Siyo kwamba wanapenda kupelekesha wabongo asee... Hapo ni umaskini ulio nao ndo shida ,
. Ungekuwa na vibunda mngeongea lugha moja safi kabisa
Piga KAZI mkuu.huu mwaka wa nne nipo nao ni kujitwist akili yako basi kazi hutoona adhabu, tatizo ni njaa zetu
Hii Supu ya kokoto itaiva saa ngapi kijana 🙂🙂Jikite kwenye hoja ....kila MTU ni maskini akipambanishwa na WA juu Yake.