Wachache watakuelewa.Umewahi kupiga deal na wachina ?
Makaburu wanatokea South Africa na wao ni wale wale tu kama wahindi na wachina. Ngoja nikuongezee wazungu wengine wa hovyo,ukikutana na mzungu kutoka UK yaani united kingdom,hao nao ni hovyo balaa. Wakija huku unaweza msaidia kitu ila kujiongeza ni sifuri.Inategemea na mzungu mkuu. Nilikutana na fala mmoja mukaburu pale Arusha. Hatakuja jisahau. Hata sasa nikimtumia mail huwa ananiuliza unataka nini. Yaani kwenye nchi yangu ake Muhindi, sijui Mchina au Mzungu aninyanyase?
Pumbavu umaskini usitutoe utu wetu.
Itoshe kusema PEOPLE WILL LOVE YOU & SUPPORT YOU WHEN THERE'S BENEFICIAL...Nimefanya nao ofisi moja miaka ya nyuma kidogo sikuwai kupelekeshwa hata siku kutokana na nilichokuwa nafanya ofisini kwao,
ila niliacha kazi kutokana na jinsi watu wa chini yangu manyanyaso waliyokuwa wanapitia moyo haukuweza kuvumilia kabisa..
Nakumbuka Uzi wako wa WATU wa pwani.Hii Supu ya kokoto itaiva saa ngapi kijana 🙂🙂
Unakuta jitu limeokotwa India au Pakistan lilikuwa linaendesha Guta limeletwa, hapa.
Halicheki na mtu
View: https://youtu.be/L8H_I-JvJgQ?si=-Rau2oZ62m-twBi_
😅😅😅😅. Hatari sana, nanyimwa sana samaki mkuuNakumbuka Uzi wako wa WATU wa pwani.
Watu wa pwani (mafia) kutunyima kitoweo cha samaki 😆😊☺️
Siyo kigezo cha kutesa watu hicho..hawa viumbe wana roho mbaya tu by origin.Kuna msemo usemao baniani mbaya kiatu chake dawa ukweli ni kwamba wahindi ndio jamiii pekee hapa nchini
Imetoa ajira nyingi kwa watanzania wa level zote kuliko jamii nyingine nyote
Ukweli ni kwamba wahindi wakisema wanafunga biashara zao na makampuni yao hapa nchini itakuwa ñi kilio
Cc The Mongolian Savage bin MaghayoNaandika hivi sio kwa sababu za kiubaguzi au vinginevyo,
Nimefanya kazi na wahindi ndani ya wiki moja asee Hawa watu wanapelekesha balaa
Sijui watu waliofanya nao kazi miaka kadhaa watakuwa na hali gani mentally
Nahisi ukiwafanyia vipimo utakuta Wana magonjwa ya moyo au pressure maana sio kwa kupelekeshwa vile
By the way nimewapiga chini haraka sana
Ila hawa watu kiboko asee🙌🙌🙌
mafinga hapo wamejikita katika sekta ipi hao?Acha uongo we kanjibahi.
Majamaa ni mapuuzi hayana yoyote. Nilishawahi ligonga moja wakati wa ujana wangu pale Usariver Arusha. Haiwezekani kwenye ardhi yangu Muhindi ambaye ana degree sawa nami na ameajiriwa ndani ya wiki akinikuta mi kazini anipelekeshe na kunifokea.
Nikamgonga na kumwambia hanifanyi lolote kwenye ardhi yangu.
Hao maskini sio wa kuwaendekeza. Naona tu wanavyowanyanyasa watu hapa Mafinga. 😁😁
Itaiva Tu tuendelee kuchochea Moto.Hii Supu ya kokoto itaiva saa ngapi kijana 🙂🙂
Na concluded watu wa MAFIA ni zaidi ya WAHINDI.☺️😊😅😅😅😅. Hatari sana, nanyimwa sana samaki mkuu
Wahindi Pro max 😁😁,Na concluded watu wa MAFIA ni zaidi ya WAHINDI.☺️😊
1. WaarabuNaandika hivi sio kwa sababu za kiubaguzi au vinginevyo,
Nimefanya kazi na wahindi ndani ya wiki moja asee Hawa watu wanapelekesha balaa
Sijui watu waliofanya nao kazi miaka kadhaa watakuwa na hali gani mentally
Nahisi ukiwafanyia vipimo utakuta Wana magonjwa ya moyo au pressure maana sio kwa kupelekeshwa vile
By the way nimewapiga chini haraka sana
Ila hawa watu kiboko asee🙌🙌🙌
Inauma Sanaa.1. Waarabu
2. Wachina
3. Wahindi
Hawa wakiwa mabosi wako unakiona cha mtema kuni. Huwa nasema sisi waafrika hasa wabongo ni wavivu, lakini kwa hizi jamii hata uchape kazi namna gani, ndiyo unakuwa kama umewachochea wakuzidishie. Umewahi kuona waiter wa mgahawani yuko mmoja tu, mgahawa mkubwa una wateja wengi, na waiter anatakiwa kukimbia kila anapo- move kutoka A kwenda B? Basi kwa wachina ipo hii. Waarabu ndiyo kabisa. mtu mweusi huwa wanamwita mtumwa. Yaani kama sisi tunavyosema ''nina dada wa kazi'' wao wanasema ''nina mtumwa''